freemason live clouds fm and clouds tv

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Jamani dunia imekwisha yaan sasa mpaka kwenye vyombo vya habar sikiliza clouds fm sasa hv
 
mwakilish anadai fremaso ni waash huru so wao ndo wanamwabudu isa au YESU
 
jamaa amejiweka hadhalani kuwa ni freemason, anatoasiri na ishara mbalimbali za freemasons, just watch and listen nw.
 
Jamani 1. dunia imekwisha yaan sasa mpaka kwenye 2. vyombo vya habar sikiliza 3. clouds fm sasa hv

1. Haitaisha mpaka Mungu apende.
2. Labda redio za bongo, mbona habari zao zipo kwenye vyombo vya habari (blogs, magazeti, websites etc) duniani muda mrefu tu...
3. Jinsi wanavyoongea (hao wageni) inaonesha wazi kuwa ni wababaishaji (akili fupi) kama watangazaji wa hicho kituo.

Ujinga mtupu.


 
nipo kwenye daladala nawaskia clouds fm. Wanadai kwamba kila mtu ni freemason
 
wapuuzi hao hawana lolote wezi tu,hawajui lolote kuhusu wanchokiongea.
hao ni waganga wa kienyeji.
 
Jinsi wanavyoongea (hao wageni) inaonesha wazi kuwa ni wababaishaji (akili fupi) kama watangazaji wa hicho kituo.

Ujinga mtupu.
 
Jinsi wanavyoongea (hao wageni) inaonesha wazi kuwa ni wababaishaji (akili fupi) kama watangazaji wa hicho kituo.

Ujinga mtupu.
 
mto amada na wewe
et wanatoa siri mb alimbali...SASA WANAONGEA NIN AO?
Matapel ao wa magomen awajui ata kuongea
sjui wachaw...wanajiuma uma awajui lolote...WANAJIKANYAGA TU na kupoteza muda wa dina



mhh wajinga hatar
 
wanajieleza kwa shiiiida,Matapel tu hao inavyoonekana ni waganga wa kienyeji wajitangaza alafu kujitangaza kwenyewe hawajui
 
nimewaskiliza, wanajarbu kujenga hoja kwamba waislam wakristo na wao lengo lao wote ni moja. Mnakubaliana na hili wakuu?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom