Patriote
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 1,718
- 1,047
Mbona unaongea mengi kiongoz??? au na wewe unaplan za kugombea???mbona kama umepandwa na jazba ghafla na kujaa upepo bila sababu ya msingi???huu ni mtazamo wake tu, haimaanishi kuwa ndo utaratibu utakaotumiwa na chama kumpata mwenyekiti wa taifa. Ni mtazamo wake tu, relax, huna haja ya kujaa upepo wala kutokwa na povu, hii mada hujawekewa wewe peke yako, acha walioielewa hii mada wachangie, usisahau kuwa wachangiaji ni wengi. Kazi njema kiongozi.Inaonekana ulikuwa umelala ukakurupuka toka usingizini ndo ukaandika hii thread.nna mashaka na uwezo wa kifikra....hebu jaribu mda mwingine kabla hujapost thread isome mara mbili ht tatu af jikosoe..niko tayari unikosoe km ntakuudhi ktk koment yng hii.