Freeman Mbowe: Mwasisi wa harakati za vijana

Tatizo la baadhi ya hawa vijana wakionjeshwa viji-Pesa kidogo tu na watawala basi mambo yote yanavurugika. wanaota mapembe na kujiona wao ni kila kitu.
 
freeman mbowe mwasisi wa harakati za vijana.

akiwa amezaliwa kwenye familia ya kitajiri, tarehe 9 disemba 1961, alipewa jina la freeman "mtu huru". Baba yake alikuwa mfadhili mkubwa wa harakati za uhuru, akiwa na sykes, rupia na wengine wengi.

Akiwa ni kijana mdogo kabisa, alijiunga na chadema kama mwasisi kijana akiwa ni mwenyekiti wa kwanza wa vijana wa chadema. Licha ya utajiri mkubwa, hakuweza kujilisha kwa anasa kitambo za ccm, wala kuendeleza ufisadi wa ccm alijiunga katika harakati za wapenda haki (mageuzi).

Baada ya kulelewa vyema kisiasa na edwin mtei, na bob makani na wengine, alipendekezwa kugombea uenyekiti wa chadema 2004, ambapo alishindwa.

Mwaka 2005 akitumia ubunifu wa hali ya juu kwa kampeni za kisayansi, na gharama nafuu, chadema ilionekana chama mbadala chenye haiba nzuri kwa vijana wote wa tanzania.

Akiwa na imani kubwa kwa vijana, alianza harakati za kuwalea vijana, akiwemo zitto kabwe, john mnyika, mwakagenda, john mrema, na wengine huku akiwaandaa kuja kushika chama na nyadhifa za kiungozi serikali.

Leo vuguvugu lote la vijana, ni matokeo ya freeman mbowe. Ukimwona zitto anaongea elewa kuwa amelelewa na kufundishwa siasa na freeman mbowe.

Mbowe siyo mchu wa madaraka kama lipumba na mrema, tayari amedeclare rasmi kugombea ubunge jimbo la hai mwaka 2010 akitaka kuwapisha wengine wagombee.

Mbowe angetaka kuwa fisadi angejiunga ccm toka zamani sana! Angekuwa msaliti angejiunga ccm toka akiwa mdogo! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!!

Ni charismatic leader!! Mwenye mvuto mkubwa sana! Asiyechoka kusikilizwa pindi aongeapo!! Uongozi wake makini wenye dira ndipo ilipoifikisha chadema kuwa chama mbadala na tumaini jipya la watanzania!

Alipokuwa mbunge wa hai 2000 - 2005 aliwahi kusema kuwa bunge la tanzania ni rubber stamp ya serikali, akalazimika kuacha kuingia bungeni kwa muda kitambo kwa kuchoshwa na kura za ndiyo mzee za wabunge wengi wa ccm.

Ana siasa za zaidi ya vyama!! Wakati baadhi vyombo vya habari vya mafisadi vikimtuhumu kumuua chacha wangwe, mbunge wa tarime! Ndiye kiongozi wa kwanza kuweka historia ya mapokezi ya kifalme katika wilaya ya tarime!! Ni rais wa tarime! Alimshinda kikwete tarime kwenye kura za urais!!

kati ya hao unamfahamu j.mapalala
 
MSALANI CHADEMA imekwisha nyumbani kwenu!!
Hata hivyo si ajabu mkeo ni mwana CDM, inayozidi kushamili kumkomboa Mtanzania na makucha ya mafisadi MaCCM!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom