Chenge
JF-Expert Member
- Oct 5, 2011
- 1,073
- 377
Pichani ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Bwana Freeman Aikaeli Mbowe (wa Pili kutoka Kushoto) akiwa Pamoja na Mwanamuziki Nguli kutoka Zaire (Sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo) Bwana Koffi Antoine Olomide (wa Tatu kutoka Kushoto waliokaa).
Bwana Freeman Aikaeli Mbowe na wenzie waliopo kwenye Picha ndio waliofanikisha Ziara ya Kwanza ya Mwanamuziki huyo Mashuhuri wa Afrika Nchini katika Miaka ya 90 Mwanzoni, Wa Kwanza kulia waliokaa ni Bwana Ronie Mtawali ambaye alikuwa Meneja wa Kwanza wa Club Billicanas.