Freeman Mbowe afikishwa kortini

Usipende kuchochea vurugu, siku zote ghasia/vurugu hazina macho. Zinaweza kukudhuru ww na jamaa zako wa karibu unaowapenda badala ya hao unaotaka wadhurike. Tafakari kabla ya kutenda.
Ndg,heshima mbele.Hakuna mtu anayechochea vurugu,ndiyo maana siku zote watu tunakusanyika kwa maaelfu bila madhara yyte,mpaka waje police na kuanza vurugu.

Hii ni kwa sababu,police wanatumwa na wale wanaokandamiza haki kufanya lolote linalowalinda wao wachache in expense of the majority Tanzanians.

Na kama in anyway ww uko karibu na hao wababe,ni muda mwafaka wa kuwashauri uhalisia wa mambo,kuliko kuendelea kuwa ma court jesters!.Kwamba haya maneno unayoyaona humu, ndiyo yaliyojaa kwenye vifua vya millions of this country's beloved citizens, sisi tunasaidia tu kuyaweka hadharani kwenye majukwaa kama haya.Tujaribu ku deal na mzizi uliosaidia kurutubisha haya matawi mengi unayoyaona,jf,face book, mtaani etc-
 
wanatakiwa wafahamu kuwa ndani ya Doula kuna Serikali, mahakama na Bunge.

lazima ajue yeye hayupo juu ya sheria.

kazi kwake.
 
Nakwambia tutaanza na wewe mjinga mkubwa unaicheka njaa, hata Nyerere wakoloni walimuweka ndani!!!!!!!!! Unafurahia uonezi kwa watu wanao tetea haki, Mjinga mkubwa!!!!!!!!!!

unafahamu haki inavyotetewa au unaongeatuu,,,,kwani wakifuata utaratibu hawataonekana wanatetea?,, ok hatuwezi kuchaguliana upande wa kuunga mkono lakini Tuweke mbele utaifa wetu kwanza.
 
Binadamu wengine mnatia kichefuchefu ni nini mnachoshindwa kuelewa kama pana mtu anahitaji kujua jambo lolote kwa wadau wewe unakerwa na nini?

Huna data tuliza domo lako usiwe na argument laini kama lotion, waliwekwa ndani zaidi ya miaka 30 na bado wakafanikiwa kupata ukombozi sembuse haya mapito sasa nauliza ww hujaona umasaburi wako kwa kupinga mwenzio asipewe taarifa ambayo ni haki ya kikatiba?
 
TANGANYIKA tuna sababu za kuingia msituni ambazo ni zaidi ya za WALIBYA.
Tunasubiri mda ufike na ndo unakaribia.
 
Ni heri hapa wajinga wanaowekwa ndani kwa kupigania usawa wa binadamu na haki sawa kwa kila mtu, kuliko wanaojifanya werevu wamepora madaraka kwa hila na ghiliba za katiba feki na tume mfu. Wamechoka ubongo wanaosindikiza Tanzanite ikiwa kwenye maroli mpaka KIA, kwa mabunduki na kupewa hongo ya shilingi milioni 10.
SIKU MTAKAPOSHIKISHWA UKUTA NA WAINGEREZA NDIO MTAJUA CCM SYSTEM IS THE VAMPIRE
 
TANGANYIKA tuna sababu za kuingia msituni ambazo ni zaidi ya za WALIBYA.
Tunasubiri mda ufike na ndo unakaribia.

Mwoga mkubwa. Unasubiri nini sasa kama una nia ya kuingia msituni?? Huna ubavu huo. Unafurahisha genge tu.
 
Wampeleke fasta mahabusu Kisongo aungane na wahalifu wenzake kina Lema.

Akipewa dhamana atasababisha uvunjifu wa amani. Uhuni waliofanya NMC unatosha.


Anacheza na nguvu za dola?... Imekula kwake sasa.

Unajulikana unachuki binafsi na Lema, ndiyo maana unapenda kumtaja sana. acha ushoga!
 
Wakuu.., nimesikia muda mfupi uliopita kuwa Kamanda wa anga.,Mh Freeman Mbowe amefikishwa mahakamani.Mlioko A town mtujuze.
Source: Super Mix East Africa Radio(Michael Barut na Zembwelai)

Wote waliohusika na fujo watafikishwa mahakamani ikiwa ni pamoja na DJ Freeman Mbowe. Poilisi iliweka wazi kabisa kuwa inamtafuta na yeye aliruka ukuta na kukimbia. Amejisalimisha mwenyewe Polisi na atafikishwa mahakamani kwali Polisi kazi yake ni kumkamata tu, lakini hukumu ataipata mahakani. Hakuna cha ajabu hapo.

Kama hakua na hatia kwanini aliruka ukuta na kukimbia.
 
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa kiburi sana TBC. "oohh...mimi Mbowe nimwogope nani?,...ooh wanamjua Mbwe au wanamsikia? oooh bla bla bla..."

Kamanda Zuberi, yafaa kumpunguza huyu mpuuzi hadi kwenye saizi ambayo ni stahiki kwake! (better reduce him to his true size).
Yes hivyo ndivyo wanaume wanaojiamini wanaongea ulitaka abane pua!
 
Wampeleke fasta mahabusu Kisongo aungane na wahalifu wenzake kina Lema.

Akipewa dhamana atasababisha uvunjifu wa amani. Uhuni waliofanya NMC unatosha.


Anacheza na nguvu za dola?... Imekula kwake sasa.

Kurekwaa ndu kitaare ni nrine ndi Kishongo!
 
Wanakuwa na kiburi na kukataa kutii sheria zilizowekwa , hv tukiwapa madaraka itakuwa vp? ... Tunajuwa matatizo yaliyopo nchini mwetu badala ya kukaapamoja mezani kwa Heshima waliyonayo na imani waliyopata kwa wananchi wao wanafanya mambo ya kihuni kbs,, haya nawafanye lakini cku amani itakapotoweka hata wao tutawahukumu pia wasijifanye wanatutetea ili hali wanashinikiza tugawanyike.. wao wanatengeneza image ya chama chao cc wengine tunaumia hatufanyi kazi tena kuandamana kila cku hayo maendeleo tutayapata vp?
Ccm inapenda mabwege kama nyinyi eti sheria! Sheria inachagua!akifanya huyu kwa sababu ni ccm sawa akifanya yule kitu kile kile sheria imevunjwa bullshit!
 
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa kiburi sana TBC. "oohh...mimi Mbowe nimwogope nani?,...ooh wanamjua Mbwe au wanamsikia? oooh bla bla bla..."

Kamanda Zuberi, yafaa kumpunguza huyu mpuuzi hadi kwenye saizi ambayo ni stahiki kwake! (better reduce him to his true size).
utapunguzwa wewe
 
ndugu zangu nimekaa na kufikiria sana na nimekuja gundua kuna watu wachahce wanaochezea uoga/amani iliyopo hapa nchini. kimsingi yanayotokea hapa arusha leo hii yasingelitokea iwapo siyo jeshi la polisi na chama rangi ya kijani.kama sio kulazimisha kufanya uchaguzi bile quram kutimia na kama sio uzembe wa zuberi kumkamata leo hii tusingeliona haya yanayotokea yakitokea.
wito wangu kwa jamii ya tanzania tuache kufanya kazi kwa mazoea bali tufanye kazi kwa kuangalia adhari zake kwa jamii inayotuzunguka.
 
Back
Top Bottom