Freeman Mbowe afikishwa kortini

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Wakuu.., nimesikia muda mfupi uliopita kuwa Kamanda wa anga.,Mh Freeman Mbowe amefikishwa mahakamani.Mlioko A town mtujuze.
Source: Super Mix East Africa Radio(Michael Barut na Zembwelai)
 
JELA NI MAHALI PAZURI PA KUISHI IKIWA SABABU YA KUPELEKWA HUKO NI KUDAI HAKI,NA HAKI TUNAYODAI ITAPATIKANA KARIBUNI TUU NA WATU WOTE WANAOTUUNGA MKONO NA WASIO TUUNGA MKONO WATAIFAIDI UHURU WA MTU NA UTU WA MTANZANIA UKIPEWA THAMANI YAKE HAUTABAGUA WANAOTUUNGA MKONO NA WASIOTUUNGA MKONO

SIKU INAKUJA MBAPO TANZANIA ITAKUWA SEHEMU NZURI YA KUISHI

hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Wampeleke fasta mahabusu Kisongo aungane na wahalifu wenzake kina Lema.

Akipewa dhamana atasababisha uvunjifu wa amani. Uhuni waliofanya NMC unatosha.

Anacheza na nguvu za dola?... Imekula kwake sasa.
 
Hii ni delaying tactic ya serikali ya CCM.Wameona njia ya kunyong'onyesha vugu vugu la sasa za Arusha na nchi zima kwa ujumla ni kuwasumbua/ghasi continuously viongozi wakuu wa CHADEMA ili siku ziendelee kusonga,tarehe 14 ifike,watu waendelee kujitoa taratibu katika mada ya msingi etc.

Kwa kuwa tumeshazama kwenye hili suala kwa kiwango ambacho tuendako ni karibu kuliko tutokako;hili suala limeshavuka elastic limit, ni bora sasa tukalimaliza kwa njia yyte regardless of the so called kibali!.The matter is already taking us alot of energy,tuliopo nje tuji-organize na kulikabili hili once and for all!.
 
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa kiburi sana TBC. "oohh...mimi Mbowe nimwogope nani?,...ooh wanamjua Mbwe au wanamsikia? oooh bla bla bla..."

Kamanda Zuberi, yafaa kumpunguza huyu mpuuzi hadi kwenye saizi ambayo ni stahiki kwake! (better reduce him to his true size).
 
Wampeleke fasta mahabusu Kisongo aungane na wahalifu wenzake kina Lema.

Akipewa dhamana atasababisha uvunjifu wa amani. Uhuni waliofanya NMC unatosha.

Anacheza na nguvu za dola?... Imekula kwake sasa.

unafikiri kwa kutumia masaburi didas
 
Kuna watu wanafikiri hili suala bado liko kwenye level ya ushabiki wa kisiasa,tena wa kikundi kidogo cha watu.Watawala wana muda mchache wa kufanya maamuzi makini,otherwise Tanganyika mpya itazaliwa muda mfupi ujao,kabla ya kusherekea miaka '50' ya uhuru wa TZ bara!
 
Hii ni delaying tactic ya serikali ya CCM.Wameona njia ya kunyong'onyesha vugu vugu la sasa za Arusha na nchi zima kwa ujumla ni kuwasumbua/ghasi continuously viongozi wakuu wa CHADEMA ili siku ziendelee kusonga,tarehe 14 ifike,watu waendelee kujitoa taratibu katika mada ya msingi etc.
Kwa kuwa tumeshazama kwenye hili suala kwa kiwango ambacho tuendako ni karibu kuliko tutokako;hili suala limeshavuka elastic limit, ni bora sasa tukalimaliza kwa njia yyte regardless of the so called kibali!.The matter is already taking us alot of energy,tuliopo nje tuji-organize na kulikabili hili once and for all!.
Usipende kuchochea vurugu, siku zote ghasia/vurugu hazina macho. Zinaweza kukudhuru ww na jamaa zako wa karibu unaowapenda badala ya hao unaotaka wadhurike. Tafakari kabla ya kutenda.
 
Wampeleke fasta mahabusu Kisongo aungane na wahalifu wenzake kina Lema.

Akipewa dhamana atasababisha uvunjifu wa amani. Uhuni waliofanya NMC unatosha.

Anacheza na nguvu za dola?... Imekula kwake sasa.
Wewe Kishongo ni sawa nakina Bhotha wa SA hawakuamini mpaka Mandela kwa shinikizo la kimataifa walitolewa jela na kuwa Raisi Black wa kwanza mpambanaji wa SA!

Bila shaka unakula makombo ya CCM wezi mafisadi wa nchi yaTanzania tuipendayo!

Kwa maana haiwezekani mtu mwenye akili timamu mwenye uchungu na nchi hii, kama huna maslahi uwe so biased na kundi la wezi!
 
Wanakuwa na kiburi na kukataa kutii sheria zilizowekwa , hv tukiwapa madaraka itakuwa vp? ... Tunajuwa matatizo yaliyopo nchini mwetu badala ya kukaapamoja mezani kwa Heshima waliyonayo na imani waliyopata kwa wananchi wao wanafanya mambo ya kihuni kabisa.

Haya nawafanye lakini cku amani itakapotoweka hata wao tutawahukumu pia wasijifanye wanatutetea ili hali wanashinikiza tugawanyike.. wao wanatengeneza image ya chama chao cc wengine tunaumia hatufanyi kazi tena kuandamana kila cku hayo maendeleo tutayapata vp?
 
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa kiburi sana TBC. "oohh...mimi Mbowe nimwogope nani?,...ooh wanamjua Mbwe au wanamsikia? oooh bla bla bla..."

Kamanda Zuberi, yafaa kumpunguza huyu mpuuzi hadi kwenye saizi ambayo ni stahiki kwake! (better reduce him to his true size).
Kishongo CDM watakutoa macho yako eeeeeh.Wewe achana na Peoples power....
 
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa kiburi sana TBC. "oohh...mimi Mbowe nimwogope nani?,...ooh wanamjua Mbwe au wanamsikia? oooh bla bla bla..."

Kamanda Zuberi, yafaa kumpunguza huyu mpuuzi hadi kwenye saizi ambayo ni stahiki kwake! (better reduce him to his true size).
Nakwambia tutaanza na wewe mjinga mkubwa unaicheka njaa, hata Nyerere wakoloni walimuweka ndani!!!!!!!!! Unafurahia uonezi kwa watu wanao tetea haki, Mjinga mkubwa!
 
Wanakuwa na kiburi na kukataa kutii sheria zilizowekwa , hv tukiwapa madaraka itakuwa vp? ... Tunajuwa matatizo yaliyopo nchini mwetu badala ya kukaapamoja mezani kwa Heshima waliyonayo na imani waliyopata kwa wananchi wao wanafanya mambo ya kihuni kbs,, haya nawafanye lakini cku amani itakapotoweka hata wao tutawahukumu pia wasijifanye wanatutetea ili hali wanashinikiza tugawanyike.. wao wanatengeneza image ya chama chao cc wengine tunaumia hatufanyi kazi tena kuandamana kila cku hayo maendeleo tutayapata vp?

Hapo kwenye red unadhani bado ipo?????????? maana naona watz wan uvumilivu
 
Nakwambia tutaanza na wewe mjinga mkubwa unaicheka njaa, hata Nyerere wakoloni walimuweka ndani!!!!!!!!! Unafurahia uonezi kwa watu wanao tetea haki, Mjinga mkubwa!!!!!!!!!!

Matusi hayasaidii, jenga hoja kistaarabu.

Unalazimisha watu wote wakubaliane na msimamo wa kipuuzi wa viongozi wa chama chako uchwara?

Not me.
 
kuna raha ya muda kumiliki dola ila kuna raha zaidi kuusikiliza umma.
nukuu ya muammar ghadafi.
 
G Mangi, Mzee wa Rula na Liverpool wanaweza kutu-update ukweli wa hili jambo!!!!!!
 
Nimemsikia Mbowe akiongea kwa kiburi sana TBC. "oohh...mimi Mbowe nimwogope nani?,...ooh wanamjua Mbwe au wanamsikia? oooh bla bla bla..."

Kamanda Zuberi, yafaa kumpunguza huyu mpuuzi hadi kwenye saizi ambayo ni stahiki kwake! (better reduce him to his true size).
Mbowe anaongea kwa kiburi umempatia kamanda Zuberi na JK anavyoongea kwa kuchekacheka akabidhiwe nani sasa?
 
Back
Top Bottom