Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,745
- 2,338
baada ya ku-aquire knowledge ya wifi nimewaletea ujanja wa ku-access free wifi kama muendelezo wa thread iliyopita kuna software inaitwa EASY WIFI RADAR ndo kila ki2 4 free wifi LKN tusaidiane hiii software inawork most in WINXP,,,makaya.com: The Best Search Links on the Net basi atakayeweza kupata ya WIN7 basi a2pie link kama nilivyofanya
uchoyo unaua
uchoyo unaua