free web host company!

Samahani rose,kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia post zako nyingi zina husu website. Kwani wewe carrier yako hasa ni nini? Nataka nitoe msaada wa hali na mali kwako maana umeonesha interest kwenye web design.
 
Samahani rose,kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia post zako nyingi zina husu website. Kwani wewe carrier yako hasa ni nini? Nataka nitoe msaada wa hali na mali kwako maana umeonesha interest kwenye web design.

chief mimi nipo hapa "Marketing Research, strategies, plans & highly effective campaigns"qualification zangu zipo kwenye marketing zaidi!
lakini napenda kuwa self employed zaidi kuliko kuendelea kufanya kazi za mshahara,
nataka kuform company itakayofanya kazi ambazo zinalipa na nimeona nikijikita kwenye web design,web hosting,isp,na vitu kama hivyo naweka kufanya biashara
lakini naona inahitajika mtaji mkubwa sana,
unaonaje?
 
chief mimi nipo hapa "Marketing Research, strategies, plans & highly effective campaigns"qualification zangu zipo kwenye marketing zaidi!lakini napenda kuwa self employed zaidi kuliko kuendelea kufanya kazi za mshahara,nataka kuform company itakayofanya kazi ambazo zinalipa na nimeona nikijikita kwenye web design,web hosting,isp,na vitu kama hivyo naweka kufanya biasharalakini naona inahitajika mtaji mkubwa sana,unaonaje?
Basi leo umesomeka,na mimi kama nilivyo kuahidi nitakuwa tayari kuku saidia kwa hilo. Kuhusu mtaji,IT ndiyo profesn pekee ambayo unaweza kufungua kampuni hata kama tnamtaji mdogo(just a computer). Mimi last year nili register firm yangu lakini siku pata customers ingawa nimetengeneza software kibao hadi mda huu. Lakini kilichofanya firm isi-run ilikuwa ni marketing,so kama we upo vizuri upande wa masoko basi IT firm yako itakutoa. Kuhusu web design ni simple sana ingawa ili umake machapaa inatakiwa ujikite kwenye web applications na baadae mobile app.na vyote hivi ni simple sana. Mhimu we ongeza bidii kwenye kuuliza maswali zaidi na ukitaka details zaidi check na mimi: chieflugina@gmail.com..... Mungu akujalie siku 1 niwe kwenye forum ambayo iko-designed na rose!
 
Back
Top Bottom