Free Photos

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
Wakuu naombeni kama kuna mtu anayejua website zinazotoa picture high quality/resolution for FREE.

MJ
 
Bado hujawa specific unataka picha za ngono? maana naona una ficha ficha

No sihitaji picture za ngono, nachohitaji ni website zinazotoa picture za bure, kule huwa wanakuwa na category tofauti tofauti..kwa hiyo once nikipata hizo website nitaweza chagua picture ninazo zihitaji.
 
Kama huna mchango wowote ukikaa kimya kuna ubaya gani kaka?..

ndo mchango wenyewe kwani upmekaa kama swali lako,si unataka picha?we bana vipi?yani wewe utadownload picha za watu hata huwajui za nini sasa?bora global unawajua baadhi
 
Nimeshakwambia kama huna mchango wowote kaa kimya au hama thread siyo lazima uandike...unachoandika hapa ni pumba..na pumba hapa hazitakiwi...kwa heri
 
we mgumu haswa kuelewa ujue jamvi zima hawaelewi unataka nini, najaribu kukupa mazingira ujieleze sasa unatema pumba,ok dwnload avtar za watu ukichambua kuna picha nzuri tuu, wewe si unataka picha bana!!
 
Acha kushoboka wewe, kama hujaelewa ipotezee, kuna walionielewa na tayari wameshaanza kuni PM.
 
ebwana ni PM na mimi nazihitaji, unaweza kujua wapi pa kupata templates za calendar na seasons greetings card?
 
Naona miradi yakufunga mwaka.

Templates za calendar na S.greeting ziko nyingi kwenye google, kuna website na blogs kibao utapata, google...then nenda mosi mosi.

Ukikwama nishtue nitajaribu kukutumia baadhi.

Ubarikiwe mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom