free internet suggestions

hakika hata mimi kwa sasa naenjoy free, tafuta hum wanajamvi walishapost madude ya ukweli kinoma sio masihara, aminia sana wana jamvi bado tunasubiri mziki wa airtel
 
ukishindwa kabisa tafuta internet yenye internet bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
dah!amakweli ng'ombe wa mackni anazaa...me airtel wamenionea huruma kuchakachua sijui na hela ya kununua bundle au laini zilizochakachuliwa sina...hvyo wamenipa free internet maisha yote,yan hapa nadownload tu mwanzo mwisho
 
mkuu, tushirikishane katika mambo hayo mazuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom