Free internet on Airtel and Zantel with on Limite and Free of cost

Mkalii huyu hapa sasa

Mkuu Paje TG ilikuwa ina ROCK enzi zile umeanza ku advertise na ni kweli hata ukiangalia screen shots za thread yako
Lkn siku hizi kidogo haiko Gooder kam enzi nzile
guru for wamavoko.png
ndio maana ukaambiwa ukijua kuendesha hilo gari , hujui kuendesha speed , utalaumu gari au udereva wako.....??
nakupa screenshot ya faster faster angalia kwenye duara nyekundu zote mbili.... na wewe ukileta hiyo ya premium , weka zote mbili, dashboard na idm wakati ikidownload file......
 
enzi hizi za zamani TG ilikuwa jina lake HHT..... ilikuwa haijawa jambazi sugu

kwa sasa...

hayo ni kama magari. ukiwa dereva mzuri TG anakanyaga barabara zote. specially ametengezwa kwa ajili ya hizi barabara zetu za Afirika, njia kuu zote NNE ninaenda mwendo mdundo bila kuweka hata drop moja la mafuta....
PD anahitaji barabara safi za kiulaya tu
Nimekusoma-Mia
 
Mkalii huyu hapa sasa
attachment.php

Krapka Davino hana piga 300Kb/s kwenye DEMO server je Premium itakuwa je nakuandalia screenshot ya Premium
Krapka Davino

Mkuu Paje TG ilikuwa ina ROCK enzi zile umeanza ku advertise na ni kweli hata ukiangalia screen shots za thread yako
Lkn siku hizi kidogo haiko Gooder kam enzi nzile
Paje namuaminia maelezo yake hata munjy1 nishamuonja ebu ni PM setting za hiyo demo nicheck inakuwaje maana nijuavyo haiko stable hiyo blue band
 
Last edited by a moderator:
Am i missing something? Ili ku connect to proxy server si bado utapitia mtandao wa Zantel, Tigo etc sidhani hii kitu ya free internate makes sense.
 
Paje namuaminia maelezo yake hata munjy1 nishamuonja ebu ni PM setting za hiyo demo nicheck inakuwaje maana nijuavyo haiko stable hiyo blue band

Hapo kwenye Red utata maana @banned ndiye wewe mwenyewe hata kaka mkubwa huenda anajua hilo teh teh teh....!!!!
Swandch Vpn inapiga mzigo kinyama so wait nikupe hili dil la kuchuuza voucher uwaache kina Paje , munjy1 wapumue coz nimepitia forum la wafilipino nadhani yule mwingine ni wewe

Mkuu settings ni hizo hizo hazijabadilika kama unazozisema za hapo kwenye RED
 
halafu haya mathread ya zamani yaliyolala sijui nani huenda kuyaamisha, yana miss lead watu..
 
MBONA HAUJAWEKA HIZO SCREENSHOT ZA KUMPITA GURU....???
au ndio umeshakiri kuwa guru ni jambazi sugu asiyekuwa na mpinzani???

Locus hai support nasiwezi kusema Yangu ni zaidi ya Guru ntakuwa najidanganya zote ni nzuri tu sababu zinapita matundu yale yale tofauti ni style ya kupita tu

Lkn ukienda kwa Kimox Kimokole kule nimetupia moja nikiwa mitaa ya Muhimbili ndo ninachopokea
 
hey guyz nimemaliza steps zote za airtel asa cjui itakubaliiii........???? ila big up kwako broo
 
Ila kwenye zantel ina disconnect kila baada ya dakika kumi, kuna m2 ana solution?
 
Big up kwa kutunufaisha bure....ubarikiwe sana......Huyo jamaa wa Guru anakosoa makusudi coz anajua biashara yake ishakufa.....tumekustukia....ACHA!
 
Back
Top Bottom