free Internet download manager(IDM)

FLASHGET ni kiboko yao free but asikwambie mtu ata torent inagonga then unaweza select content za file ndani ya single torent
 
naomba ujuzi niweze kutumia IDM bila kulipia

kuna file linaitwa SnDk&p.exe linapatikana SnDk&p.exe baada ya kudownload unafungua my computer program internet download manager unaliweka ndani ya hilo folder la IDM baadaya hapo unalifungua una clik pach hapo utaweza kutumia bila kulipia jaribu ukishindwa ni PM
 
Mimi nimeshindwa kazi haka ka Laptop hakanaga (IDM) sijaiona na baada ya ku search pia nimekosa !
Ngoma ni download fresh lakini tabu ikaja kwenye ku run inasema sijui niikimbie server ile ( Patch ) ndio imekataaa kabisaa !
 
Guys;
someone help me ! Nimechoka kulipia hivi vi modem kila wakati banaaaa !
 
acheni mambo ya ku pm ani pm ani pm. weye li attach hapo kil amtu achukue. how many will pm you?
 
Attach file hapahapa watu wajishushie,hivi hizo PM mnaona tamu uh?(Kuna wengine hawajawahi kutumiwa PM ukute)tehe tehe
 
nikirejister naambiwa idm has been registerd with a face serial no, kisha wananiletea nijaze serial no yangu, siijui, nifanyeje jamani?
 
Back
Top Bottom