free hosting sites

vipi mkuu hadi leo inafanya kazi? au kuna nyengine kali kama 000webhost unayoijua?
ya mwisho kuitumia nzuri ni hostinger, wana domain nyingi nyingi mi natumia hostinger.ru ni ya kirusi ila baadae kuna option ya kuchagua kingereza, zipo hostinger za kingereza kama .ph ya ufilipino pia unaweza zijaribu sema sina uhakika kama server ni zile zile kama za .ru
 
Back
Top Bottom