Free DOS

Misosi

Member
Sep 17, 2010
85
4
Wakuu habari! kuna Notebook Compaq nimeiona mahali nikaipenda nataka inunua tatizo imeandika Operating system yake ni FREE DOS. Naomba kujua hii ni nini hasa na je kama nikiinunua naweza instal OP nyingine kama XP au Window 7?? je kutakuwa na shida yoyote katika ufanisi wa hii pc? Ahsanteni.
 
hakuna tatizo lolote unachotakiwa wewe ni kununua operating software unayopenda uweke, zingatia speed ya machine na os unayoweka.
 
Back
Top Bottom