Hamiyungu
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 567
- 714
huko mkuu tbc huwezi kuipata kwenye dstv ingawa pale kwenye channel list ipo ni sawa na sisi tunavyo ziona za ghana,nigeria na nchi zingine kwenye channel list lakini hazifunguki,cha msingi tafuta dish kubwa la cb na receivr ya free channel then itafute au nenda ofisi za multichoice huko uliko waombe wakufungulie hiyo tbc ingawa sina uhakika kama hillo linawezekanaWazee naomba nifahamishe namna ya kusetup decoder yangu ili nipate TBC. Niko west africa kwa sasa na nikitaka kuweka (tuning) TBC naambiwa "not subscribed for your country".