Free blackberry unlock code

Hiyo BB yako ilikuwa maalum kwa matumizi ya marekani tu? yaani nazungumzia CDMA technology? je network ya Tanzania unayoitumia inadisplay hapo kwenye screen? majibu ya maswali haya kutoka kwako ndio nitakupa solution ili uwenjoy bb messenger.
Niliinunua Marekani. Iko un-locked. Hapa Bongo naweza kuweka sim card yoyote na hizo networks zinaonyesha kwenye display.
 
mkuu kama nimemsoma vzuri inaonyesha inakamata net vzuri tatizo ni bb messenger inamana ipo regsterd kwa id ingine na yy awezi kuweka yake nimewakukutana na kesi hizi mkuu kama nimemwelewa vzuri

Hii Blackberry Storm II inafanya kazi vizuri kama simu ila Mobile network operators wameshindwa kuniwekea Blackberry services ikiwa ni pamoja na BB messenger
 
kwenu nyie mnaobisha hili. Je mmetuma hizo namba akashindwa kuwasaidia? Au hamjui ila mnatumia ile mbinu ya kubisha ili mueleweshwe?

Mkuu. Mimi siko hapa kutaka kuelewesha vitu kama hivi ingali navijua fika. Hata kama ningekuwa sijui nisingekuja hapa ingali google ipo 24 hrs.
 
Drphone.

Mbona unakuwa muongo kiasi hiki? Unadhani solution ya tatizo hili ni kubadilisha imie # ? Nimejaribu kufanya hivyo mara nyingi tena kwa kutumia software mbali mbali ikagoma. Pia nimejaribu kui wipe ili kuweza kutumia os yoyote still tatizo liko pale pale....

Nilikuwa na pima uelewa wako wa mambo haya, hata hivyo nimegundua upo upo sihaba.

nimekwela kumbe una lolote upo kimalumbano nakama unajua mbona ujatatua na ukishajua uelewa wangu utakusaidia nn ucpende kumwita m2 mwongo asa ucyemjua nimetatua kama hayo namakuba zaidi so ushauri wa mwisho hyo niyawizi lumbana bac
 
hawa wanajua ila ukichunguza sana wanalinda maslai binafsi so wanajaribu kushawishi watu ili uonekane mwongo wakati wanajua linawezekana unaona mganyizi ameomba msaada na nimetoa ajaribu tuone

Mkuu.. Hakuna maslahi yoyote ninayo yapata au kukosa kwa kusema ukweli ninao kuambia hapa... Watu tuna ajira zetu za maana hivyo hakuna sababu ya kufanya uwizi kama unaotaka kufanya au unao ufanya.

Dr. Ungejua nafanya kazi wapi usinge sema eti nimekuomba msaada hah hah hah!
 
Mkuu. Mimi siko hapa kutaka kuelewesha vitu kama hivi ingali navijua fika. Hata kama ningekuwa sijui nisingekuja hapa ingali google ipo 24 hrs.

kama haupo kueleweshwa bac elewesha wengine unachokjua uwezi kunamajukwaa mengi humu chagua 1
 
poa tuma imei no yake mana ubishi mwingine aufai kama unaona masihara mbona unayo na aifanyikazi na ujui linaloweza kukupata kwa ww kuiwasha nakuiweka hewani kama k2 ujui kuwa mpole utajua mengi ataunachokijua jifanye ujui ili upate uelewa zaidi ni hekma mkuu
Mbona umeng'ang'ania sana IMEI # ? Nimekuambia simu yangu imekuambia nataka kuunlock sim card?
 
Mkuu.. Hakuna maslahi yoyote ninayo yapata au kukosa kwa kusema ukweli ninao kuambia hapa... Watu tuna ajira zetu za maana hivyo hakuna sababu ya kufanya uwizi kama unaotaka kufanya au unao ufanya.

Dr. Ungejua nafanya kazi wapi usinge sema eti nimekuomba msaada hah hah hah!

hope we can end this malumbano now see citaji kukujua ww wala kazi yoko honest avinisaidii chochote ckujua nalumbana na mpumbavu ata ivyo nisingejua mana mpumbavu akikaa kmya uonekana ana hekima so see u mkuu
 
nimekwela kumbe una lolote upo kimalumbano nakama unajua mbona ujatatua na ukishajua uelewa wangu utakusaidia nn ucpende kumwita m2 mwongo asa ucyemjua nimetatua kama hayo namakuba zaidi so ushauri wa mwisho hyo niyawizi lumbana bac

Siko hapa kulumbana.. Inaonekana nimekugusa sehemu mbaya maana ushapandisha jazba... Usipende kudanganya watu
 
hope we can end this malumbano now see citaji kukujua ww wala kazi yoko honest avinisaidii chochote ckujua nalumbana na mpumbavu ata ivyo nisingejua mana mpumbavu akikaa kmya uonekana ana hekima so see u mkuu

Eeh! umeanza matusi tena? Matusi ya kuitana wapumbavu yametoka wapi? Unaambiwa ukweli unatukana? Samahani kama nimekutibulia Deal lako.

Toka Dr. Saa hadi Dr.Phone ni hatua kubwa kwa kweli.
 
Mie nasubiria majibu ya kitaalamu kuhusu jinsi ya kupata hiyo BB service

Mkuu, Service ya BB unapata sema upati service ya Blackberry Internet service (BIS)... Najua unapata huduma zote za kupiga na kupokea na SMS!
 
Back
Top Bottom