macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,697
- 39,400
........Ugomvi wa mtu na mke wake mwaingilia kwanini?..... ILIWAHI KUIMBA BENDI MOJAKama kuna mtu kaisikiliza hotuba ya KAFU hadi mwisho ambayo link iliwekwa hapa mtandaoni basi atakuwa amesikia onyo alilopewa Pinda .Wamesema asiwatishe na asijidanganye yeye na wenzake .Wamesema kauli zake zinaudhi na hawako tayari kuvumilia .Wamesema mjadala ya Muungano uwepo na marekebisho waliyo mpa Sitta .Wakasema kama hawatafuata ushauri wao wako tayari kuvua koti maana linawabana sasa wanataka koti size yao .Pinda kaambiwa hajui siasa an historia ya Nchi ya Zanzibar .CCM kimya , JK kimya , Wabunge wa CCM kimya , haya inakuwaje hapo ?