Fred Liundi abwaga MANYANGA HiTS.

Oloronyo

Member
Mar 29, 2009
80
9
Hayawi hayawi sasa yametimia baada ya kiongozi wa mauzo Fred Liundi mzalendo pekee aliyebakia na aliyetazamwa na wazalendo wengi kama tumaini la waliobakia kubwaga manyanga katika kampuni ya simu za mkononi HiTS kwa sasa wafanyakazi wa kampuni hiyo ambao hawajapata mshahara wa mwezi wa sita kubaki hawana la kufanya.
 
Sasa Oloronyo hii si ungeiweka kule kwenye thread ya HITS??? hapa you are running a risk of people personalizing this guy to the core!!!

Please yero, do the needful kabla hajanyewa na kunguru wa zanzibar

Unakuwa kama umetusahau aisee
 
Duuu ule usanii wa Hits sasa unaelekeaa kukamilika......poleni wa tz wenzetu najuaa timing zote zimeharibiika kabisaa hapo....any way pole sana ndio maisha hayo
 
Hayawi hayawi sasa yametimia baada ya kiongozi wa mauzo Fred Liundi mzalendo pekee aliyebakia na aliyetazamwa na wazalendo wengi kama tumaini la waliobakia kubwaga manyanga katika kampuni ya simu za mkononi HiTS kwa sasa wafanyakazi wa kampuni hiyo ambao hawajapata mshahara wa mwezi wa sita kubaki hawana la kufanya.

Sisi kama wana jamii unataka tufanye nini kama kabwaga Manyanga? sioni logic ya kutuwekea hii post, ipo kiumbea umbea zaidi. kila mtu akianza kuandika waliobwaga manyanga sehemu mbali mbali sijui kama jamvi litatutosha kujadili mambo yenye manufaa katika jamii.
Tuwe makini na post zetu wanajamii.
 
Hayawi hayawi sasa yametimia baada ya kiongozi wa mauzo Fred Liundi mzalendo pekee aliyebakia na aliyetazamwa na wazalendo wengi kama tumaini la waliobakia kubwaga manyanga katika kampuni ya simu za mkononi HiTS kwa sasa wafanyakazi wa kampuni hiyo ambao hawajapata mshahara wa mwezi wa sita kubaki hawana la kufanya.

ivi we msela unayejiita oronyonyo sijui unapakatwa!!!! maana hata huelewi unachoongea we ****.......nani amekwambia fred liundi ndo mzalendo pekee anayetazamwa Hits pale!!! acha upuuzi wewe mbona kuna bado wazalendo wengi bado wapo pale!!!?
unaomba sana HiTS ife ili ufanye sherehe eeeenh? na kwa taarifa yako haifi sasa utaendelea kuisikia ivo ivo....
unajua we msela nishakusoma kitambo sana kwa una ishu za kike wewe umebakia kuvalishwa shanga tu then upelekwe ukacheze vidole juu!!! we mtoto wa kiume huwezi kushabikia mambo yasiyokuhusu....
kama vipi chunia ISHU
 
Mtuwatunaviatu; Tafadhali saana angalia lugha yako, siungi mkono aliyosema Yero lakini pia najisikia vibaya kwa jinsi ulivyochapa herufi kali mno!!

Oloronyo, dont say you havent been warned!!!!!! Please omba mods waiondoe hii; au waiunganishe na ile thread mama ya HITS

Mbona tunapakana vinyesi jamani?????????
 
mnisamehe wadau but huyu oloronyo kanikera na kitendo cha kushabikia tabu za waTZ wenzie. amekosa uzalendo kabisa
 
Oloronyo,

Haya mambo mbona ya kawaida. Kuacha kazi na ku switch sehemu nyingine ni jambo la kawaida especially zama hizi za utandawazi na kwa mtu ambaye ni Professional na ameenda shule, competent na anayejiamini... Unless kama wewe (Oloronyo) ni mojawapo wa vihiyo ndo unaweza kubabaika!!

Naona post hii haina maana (does not add any value) ... bora ifutwe inajaza Memory bure!
 
Oloronyo

Huyo unayemtaja ni nani hasa?

Mbona mdogo wangu yuko huko na anavuta mshahara kama kawaida? Nasikia ndani ya mwezi huu Excellentcom wanakuja kivingine!
 
Back
Top Bottom