Franco Mtui apooza mwili mzima

Jamani naombeni namba za imelda wa bang nimempenda hivi kafikisha 30 yule

...Kwenye Toleo la Bang! Lililopo Sokoni Sasa Hivi Amekaririwa Akisema Anaye Mchumba Ambaye Wanapanga Kufunga Ndoa Siku Za Karibuni Si Unaweza Ukamuharibia, Mkuu Shy?? ;)
 
...Kwenye Toleo la Bang! Lililopo Sokoni Sasa Hivi Amekaririwa Akisema Anaye Mchumba Ambaye Wanapanga Kufunga Ndoa Siku Za Karibuni Si Unaweza Ukamuharibia, Mkuu Shy?? ;)

Watu wengine si unajua, ashakum, wakiona kichaka haja huwabana hapo hapo.
 
OLORONYO

mie nahisi unamchukia sana Mr. Mtui, na inasikitisha kwamba umetumia ajali yake kutoa pumba zako rohoni za miaka ya tangu late 90s.

either
ulidhani wewe ndie utachukua upendo wa Mrs. Kirigiti-Mtui

or
ulitaka aoe dada yako as weye unamwona celebrity wa high class rohoni na macholni kwako

sasa uje utuambie Mungu akikupiga bakora as mwenzi ajakukosea kukusema hivi or labda alikunyima pesa or mkopo

omba mungu usiumie na bakola lake yaweza kuwa wewe or aliyekaribu nawe

Pole, jitahidi kuanzzisha business nawe ujulikane. Mie nilisoma nae Primary school.

Pole na uache kujitetea Y umeandika haya

Jamani wivu wa aina hii mbayaaaaaaaaaaaaa sana
 
Ni vyema tukakumbuka wahenga walisema "Hujafa hujaumbika". Mtui anahitaji faraja na maombi ya wadau katika kipindi hiki kigumu na sio maneno ya kashfa. Tuwe na utu.
 
Kama alivyosema Mt.Dilunga kama unapenda Privacy usikubali ukatundikwa katika Blog yoyote duniani,samahani kama nimewakosea,ila Source ya yote yaliyotokea ni P's.
 
Ni vyema tukakumbuka wahenga walisema "Hujafa hujaumbika". Mtui anahitaji faraja na maombi ya wadau katika kipindi hiki kigumu na sio maneno ya kashfa. Tuwe na utu.

Kwenye mitandao hakuna maombi bana, kuna ma comment tu. Unataka maombi ungeita mchungaji hospitali, sio kutaka ku pozi kujipigisha picha kwa blogu ya MICHUZI mtu uko hospitali bana, hataki privacy huyu.

Ukisema umetumbukia shimoni next to li picha la MICHUZI, obviously wanaokufahamu watatoa comment kutuambia whether hii ni pattern yako ya kuwa tingas na matapu tapu baada ya kuporomoka kibiashara, na kuwa wa kuokotwa mitaroni. Anataka watu wamjadili, old celeb, angependa wa put all his business out there.

4898d1245230582-franco-mtui-apooza-mwili-mzima-franco.jpg
 
Dilunga umenkuna! Yaani watu oooh, hujafa hujaumbika,ooooh tema mate chini,oooooh una-beef! Kuweni makini sana na kutundika mapicha yenu mimi nimesikitika sana lakini bila P's asingefikia alipo. HILO NALO NENO.
 
Oloronyo

Binafsi ninamfahamu Franco - naweza kusema kwamba ni rafiki yangu - muda mrefu sana. Niliporejea nyumbani mwaka 1992 baada ya kuishi ulaya muda mrefu, yeye, pamoja na rafiki yetu mwingine, Nicas, ndio waliokuwa wenyeji wangu, nisimsahau Baraka. Walinionesha njia. Pita hapa, usipite pale. Ongea na huyu, usiongee na yule.

Nilisikitika kwa yote yaliyomkuta, kwani hujui lini yatakukuta, hujui maisha yatakubadilikia kwa namna gani. Hata kama alikuwa "mlevi mbwa", huwezi kujua ni nini haswa kilitokea mpaka akawa hali hile. Nina HAKIKA hakupenda hali ile, lakini wewe hujawahi kupata MSONGO wa MAWAZO (mental depression). Utaiona dunia chungu, utatamani ardhi ipasuke dunia ikumeze! Utakimbilia kwenye pombe na anasa, lakini hazitakusaidia.

Usitumie "kuharibikiwa" kwa binadam mwenzako kama njia ya kujisafisha mwenyewe. Binafsi mimi nakuona kwamba una tatizo la "inferiority complex". Watu wenye hali hiyo hawajioni kama "wametimia" mpaka wapate nafasi ya kumbeza mtu mwingine. JIAMINI kaka, kwamba wewe ni wewe, na downfall ya mtu mwingine isiwe chanzo cha wewe KUONEKANA kwamba nawe umo. JIAMINI kwa jinsi ulivyo, nasi tutakuona kwamba UMO. Lakini ukitumia UWANDA HUU MPANA kumchafua ndugu yetu Franco Mtui, tutakupondaponda kwa mawe, viboko, matofali, ufe kama kibaka anayekamatwa kule Sokoni Kariakoo, akijaribu kumpora mama mhangaikaji vijisenti vyake.

Unadiriki kusema kwamba Franco alijiona yeye yuko juu? Unamfahamu kweli ama unaropoka tu?

Ficha upumbavu wako, onesha hekima zako! - Invisible

Usitukane wakunga, na uzazi ungalipo.

./Mwana wa Haki

Pole sana ndugu yangu Franco (aka Pinocchio!). Mola atakuafu mapema!
 
By the way issue yenyewe inasikitisha sana, kwani way back from O'bay outward we remember Franco the DJ and on the other side his bro Eddo a.k.a Fresh XE the entertainer.
Wishing him full recovery.
Bila kumsahau Deo, the cool guy.
Nawakumbuka Mtui's kwa wote waliosoma O'bay enzi zao.Ni watu wa watu.
Kwa mujibu wa picha, sio kweli amepooza mwili mzima.
Tuwaombee uponaji wa haraka ndugu zetu Franko Mtui pamoja na mpiganaji Athumani Hamisi bila kumsahau Mzee wetu, Timoth Apiyo ambao wote wamelazwa Rehab Center moja.
 
Oloronyo

Usitumie "kuharibikiwa" kwa binadam mwenzako kama njia ya kujisafisha mwenyewe. Binafsi mimi nakuona kwamba una tatizo la "inferiority complex". Watu wenye hali hiyo hawajioni kama "wametimia" mpaka wapate nafasi ya kumbeza mtu mwingine. JIAMINI kaka, kwamba wewe ni wewe, na downfall ya mtu mwingine isiwe chanzo cha wewe KUONEKANA kwamba nawe umo. JIAMINI kwa jinsi ulivyo, nasi tutakuona kwamba UMO.

Unadiriki kusema kwamba Franco alijiona yeye yuko juu? Unamfahamu kweli ama unaropoka tu?

Ficha upumbavu wako, onesha hekima zako! - Invisible

Usitukane wakunga, na uzazi ungalipo.

Oloronyo Saiguran, uchukulie ujumbe huu serious aisee!!! We need to change how we perceive others especially on sensitive matters
 
OLORONYO

mie nahisi unamchukia sana Mr. Mtui, na inasikitisha kwamba umetumia ajali yake kutoa pumba zako rohoni za miaka ya tangu late 90s.

either
ulidhani wewe ndie utachukua upendo wa Mrs. Kirigiti-Mtui

or
ulitaka aoe dada yako as weye unamwona celebrity wa high class rohoni na macholni kwako

sasa uje utuambie Mungu akikupiga bakora as mwenzi ajakukosea kukusema hivi or labda alikunyima pesa or mkopo

omba mungu usiumie na bakola lake yaweza kuwa wewe or aliyekaribu nawe

Pole, jitahidi kuanzzisha business nawe ujulikane. Mie nilisoma nae Primary school.

Pole na uache kujitetea Y umeandika haya

Jamani wivu wa aina hii mbayaaaaaaaaaaaaa sana

mnachekesha kama sio kusikitisha yani mwenzenu anaumwa halafu nyie mnaongea vya kihivi loooo.

Mie binafsi namuombea kwa mungu apone
 
...Franco is a nice guy, always smiles. Very likeable guy. Mzee Mtui aliwapa majina watoto wake alphabetically.
Mke wake played a big part ya Franco kuwa South Africa anatibiwa, alipelekwa Nairobi kwanza.
Get well soon brother, our prayers are with you
 
Majina kuwa alphabetical ina uhusiano gani na hali iliyopo?

Mke wake played a big part? I thought ndiye wa kwanza hasa kubeba hilo jukumu, nani mwingine ulitarajia aplei hiyo role?
 
Kwani ni dhambi kusema kwamba mgonjwa alikuwa chapombe?Acheni unafiki.Yaleyale ya marehemu alifariki baada ya kuugua malaria kwa muda mrefu kumbe alikuwa mwathirika wa ukimwi.Tunawalaumu wabunge wa CCM kwa unafiki wakati na sie wenyewe tunataka kusifia hata pale penye mushkeli?

Yes,huyo kijana alikuwa chapombe,na kuugua kwake hakuondoi ukweli huo.By the way,hata huko kuanguka kwenye shimo kunahusishwa na bwax...Kumuombea apone ni suala moja na kuelezea wasifu wake ni suala jingine.Kwa mfano,japo simuombei mabaya,lakini kesho na keshokutwa Rostam akiaga dunia kuna tutakaoshindwa kujizuia kusema marehemu alikuwa fisadi wakati wa uhai wake.Si dhambi ati!
 
Huyu Mtui ndio nani haswa? mtu flunai maarufu au vipi? I'm lost

Ni mmoja wa wanafamilia wa Mzee Mtui, Baba alikuwa mtumishi wa umma akiishi O'Bay. Vijana watatu hawa Franco ndiye mkubwa akifuatiwa na Deo na mdogo wa alikuwa DJ Maarufu Fresh XE. I'm not sure na mdogo wao mwingine tena.
Siku zile enzi za O'Bay Primary kila mmoja wao alikuwa na kipaji chake. Franco alikuwa sharp, Deo cool na Fresh XE music. Enzi hizo walikuwa na connection za mamtoni hivyo kigongo chochote kikishuka ulaya within no time
Kina Mtui wanakidaka. You can imagine enzi hizo, hakuna TV wala mtandao

Baada ya kumaliza sec, wote walifanikiwa kimaisha kila mmoja kwa upande wake.
Umaarufu wa vijana hawa ni watu wa watu.
Tunawaombea kwa Mungu, uponyaji wa haraka, Watanzania wote watatu, Mpiganaji Athumani Hamisi, Mzee wetu Timothy Apiyo na Franco Mtui ambao wote wamelazwa hospitali hiyo nchini Afrika Kusini.
Mod, rekebisha headline amepooza ila sio mwili mzima!.
 
Back
Top Bottom