Franco Mtui apooza mwili mzima

4898d1245230582-franco-mtui-apooza-mwili-mzima-franco.jpg



Duu huyu mtu simjui, ila inatiisha huruma kwani anaonekana bado mdogo sana! Muumba wetu amjlie muujiza wa kupona haraka.
 
The Mtuis are immortalized in the book "Dar-es-salaam"

By James Brennan, Andrew Burton, Yusuf Lawi, British Institute in Eastern Africa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Dept. of History

Here mentioned is the acknowledgment of their contribution to the early evolution of Tanzanian Hip Hop. Nakumbuka Eddo alitwaa ubingwa wa Rap Lang'ata in the early 90's kwa ku recite vyeo vyote vya jeshi alivyopanda na kumalizia

"I am the Major General Fresh XE, I am the Major General Fresh XE"

Dar es Salaam: histories from an ... - Google Books
 
Well, inahusu jamii nzima. Yeyote anae pozi kupiga picha kupeleka MICHUZI huyo hataki privacy, anatamani kujadiliwa na jamii, ugonjwa wake, maisha yake, ya nyuma, ya mbele, familia, umbea wake, sura yake, biashara zake... Ana enjoy himself. Picha ikitoka MICHUZI inaenda JF, halafu Dar-Hotwire, then UTAMU. Yeye anafurahia.

HERI MIMI SIJASEMA. Ahsante Mtakatifu Dilunga.
 
Pole sana kaka Franco mie inaniuma sana coz namjua yo bradha nicky mtui aka FRESH XE jamani lazima atakuwa kwenye a lot of pain poleni family ya MTUI
 
Mi nafikiri jamaa alikuwa anamwaga info hivi ila akateleza kuweka u-shigongo kwenye issue hii ya kusikitisha.
By the way issue yenyewe inasikitisha sana, kwani way back from O'bay outward we remember Franco the DJ and on the other side his bro Eddo a.k.a Fresh XE the entertainer.
Wishing him full recovery.
 
heheheheheehhe
shekhe amakweli huachi msala upitao kwa ambachao hehehe Karo yupo wapi wadau?? I mean Karo Nyimbo

Hahahah Msaniiiiiiiiiiiiiiii....hivi wewe hujui kande likilala huwa linakuwa tamu zaidi?
 
HERI MIMI SIJASEMA. Ahsante Mtakatifu Dilunga.

Hujasema vipi wakati wewe ndio umeokota taarifa kwa MICHUZI ukazileta hapa watu watoe comment? Sasa mnajifanya kulia lia kwamba jamaa anakandiwa? Eti heri hujasema.

Mmeyakaribisha. Amepozi kupiga picha ipelekwe MICHUZI, ajadiliwe. Obviously kuna wengine watasifu, watasema alikuwa mmoja wa pioneer wa ku import muziki wa hip hop Tanzania, na pia kuna detractors wamedai aliporomoka biashara akawa junky wa matapu tapu kudumbukia na kuokotokwa kwenye mitaro. Amewakaribisha.

4898d1245230582-franco-mtui-apooza-mwili-mzima-franco.jpg
 
Back
Top Bottom