Nyie Wazee hebu nendeni mkacheze na wajukuu zenu! uwanja wa vijana huu!
Lokombe Ntal huwa anasahaulika sana......yeye alikuwa back vocal na Wuta Mayi
ikitu ya BAKULUTU sio lazima uwe mtu wa zamani,ili mradi itokee umezipende hizi nyimbo,bila shaka hata waimbaji utawajua..mbona mimi wa juzi 80 na kitu tuu PHD!!
Wakuu nilikuwa sijajua kwamba kuna uzi wa FRANCO, ngoja na mie nitoe mchango:
- Je, kuna mtu ametaja kuhusu MALAGE DE LUGENDO, aliyeimba wimbo TESTAMENT YA BOWULE?
-Je, mnakumbuka wimbo uliotungwa na MAYAULA uitwao BONDOWE?
- Vipi kuhusu, SEDOU wimbo wa 1987?
TP OK JAZZ ilikuwa bendi ya ukweli.
Carlito Lassa namkumbuka pia kwenye wimbo Maya pia kuna wimbo aliimba na Madilu. Ni kweli dogo alikuwa bishoo sana.
voyage ya bandundu wimbo mzuri wa Pata Ndombe. Mnakumbuka MPOYI, kwenye wimbo wa Kadima uliotungwa na Simaro?
Huyo bwana alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba nyimbo za majonzi au akiwa analalamika..jamaa alikuwa sawa sana, nawe amekufa.
Vipi kuhusu Aime Kiwakana?