Franco Luambo Makiadi

Maadamu unamfahamu shemeji yangu na Mumewe yaani Kaka L. basi hebu toa miaka kama 4 hivi na utapata umri wangu :)

Katikati yetu kuna kijana alifariki akiwa mdogo sana (Kashindye) na hivyo ni kama imekuwa kawaida kuwa mie namfuata yeye.
how old are you broda ? kidding
 
The late Zitani Dalienst ya Ntessa (died 1994)

Ntesa-19901015.jpg
 
1991-07-09_Lola-Aime-Josky-Ndombe-Diatho.jpg


R to L: Lola Chécain (RIP), Aimé Kiwakana (RIP), Josky Kiambukuta ''Londa'', ''Pape''Ndombe Opetum, Lukoki Diatho (Brussels, 1991)
 
Mkuu,

Nyimbo za huyu dada hadi leo nazitafuta. Sikujua kama alikuwa Jaluo. Nilizisikia miaka ya 90 mwanzoni kwa bahati sana maana kuna jamaa alinunua gari kwa Mkongo. Basi akapewa gari na kaseti yenye nyimbo za huyu dada akiwa na mwenzake simkumbuki.

Kama kuna sehemu naweza kupata nyimbo zake, ntashukuru sana maana naziwinda ila sijui nizipataje. Asante kwa kunipa jina maana sasa nimeshajua pa kuanzia. Mwanzo nilifikiri alikuwa Jolie Detta ila sauti nikagundua haikuwa hiyo.
Sikonge,
Usisahau kuwa kuna jaluo alibahatika kuimba na Franco?......NANA AKUMU

5242022622_bdd431ca4b.jpg
 
Nakumbuka alipokuja Tanzania miaka ya sabini akiwa na wanenguaji wake. Ni wakati huo bendi za hapa zikaanza kuwatumia wanenguaji. Kwa siku hizi nafaidi miziki yake nikiwa peke yangu kama kwenye gari au wakati wa safari ndefu kama vile eneo la Ruaha kutoka Mikumi kuelekea Iringa.Miziki yake kama vile AZA inafanya safari iwe fupi sana
 
Ahhh mwali..papa wemba na VIVA LA MUSICA ,nyoka longo na ZAIKO LANGA LANGA 'WANA NKOLOMBOKA' waazilishi wa sokuous aka soukus vibration,walimlea pepe kale,kabla ajawaponyoka na kutoka na mtindo wa KWASA KWASA aka mayenu na kitu chake PON MOUN PAKA BUJEE..akiwa na papi tex .TABULEI ndio mtani wake wa jadi akiwa na kundi lake la Afrisa intanationale alilo liunda na dk nico kasanda na madilu kabla hawaja mkimbia 1962 na 1963.KOFFI aka mukulu bilanga..mopao mokonzi mwamuzik msomi mwenye degree ya uchumi na dikteta wa ma rapa...
Le QUatro Langa Langa Star, baada ya kuachana ndio kila mmoja alienda kutunga nyimbo zake, ila mwanzo walikua Shungu Wembadio (a.k.a. Kuru), Evoloko Joker, Gina wa Gina (ila alipata ugonjwa wa akili, sasa hivi kapona), Grand Pere Bozi Boziana. NA ile 'plus un' ndio Ya Jossart Mwenyewe. Kumbuka vizuri nyimbo za kukumbushia kama Amazone, Komelesan
Tabu Ley (a.k.a Rochereau le Rosignol) aliimba sana na Franco. Enjoy this tube:
 
Last edited by a moderator:
Sikonge,

Kulikuwa na BANIEL na JOLIE nadhani hawa ni ndugu.....NANA alitokea kisumu ndio maana TPOK inawafuasi wengi sana kule Kisumu.........BANIEL huyu hapa

OK-BANIEL.jpg
 
Birthday ya Mzee Simaro Masiya Lutumba, kumaliza miaka 70.

Huyu Mzee aliandika zaidi ya asilimia 50 ya miziki yote ya TPOK Jazz. Sam Mangwana na Boyibanda wakiwa kwenye stage. Boyibanda ni yule jamaa alikuwa akicheza Break (robot) kwenye zile video za mwaka 1975.



Hata watoto mitaani waliamua kumpa heshima yake mzee kwa kuimba miziki yake.

Hapa mzee na wanae wakizi-Medley miziki ya POET Lutumba.


Safari, lazima umsikilize huyo mtoto hapo juu. Kwa kweli aliniuwa hasa anapoimba "Bina na ngai na respect."
 
Last edited by a moderator:
mkuu sikonge nimekuelewa kaka,unaju kuna clip moja jamaa angu wa kenya anazitengeza sasa ktk mbwembwe za hii nyimbo ya mamu pale kw yule dada akaweka cilp ya msicha coz nilikuw cjawai ona video yake nikadhan okamana.
Thax,coz jf ni zaid ya darasa
 
The late Zitani Dalienst ya Ntessa (died 1994)

Ntesa-19901015.jpg

Alikuwa ni clarinst,vocolist na pia alishiriki kwenye wimbo wa LISOLO YA ADAMO NA NZAMBE,BINA NGAI NA RESPECT wakiwa paomoja na Matalanza,josky,madilu,malege de lugendo na mwana dad Joliet detta.
 
At 73 Simaro is still at it.......

Simaro-2.JPG

Naweza sema kama ni uti wa mgongo wa TP huyu ni mmoja wapo,ndie alipewa kazi ya kuongoza TP baada ya franco kufarik,ni mkali wa kila kona..Coz na tumia cmu ningeweka mambo yake hewan..ckiliza kitu yake ya Testamente ya bowule,maya,ebale ya zaire utakiri kajaliwa sauti na uwezo wa kucheza na gitaa.
Mpaka leo anaishi
 
SIKONGE NA SAFARI...hebu sikiliza hizi:
TASTEMENTE YA BOWULE
MAYA BOMAYI or MAYA
NON
FAUTE YA CORMACANTE ya sam ngwana.
LES RUMEURS ....bonge la bit
MAKESE YA MEME...true jazz
 
Naweza sema kama ni uti wa mgongo wa TP huyu ni mmoja wapo,ndie alipewa kazi ya kuongoza TP baada ya franco kufarik,ni mkali wa kila kona..Coz na tumia cmu ningeweka mambo yake hewan..ckiliza kitu yake ya Testamente ya bowule,maya,ebale ya zaire utakiri kajaliwa sauti na uwezo wa kucheza na gitaa.
Mpaka leo anaishi

Bakulutu,
Huyu rarely aliimba.......ila alitunga 80% ya nyimbo za TP OK Jazz......hizo nyimbo ulizotaja ziliimbwa na hawa...Testamente ya bowule(Malage),maya(malage),ebale ya zaire(carlito)
 
Back
Top Bottom