Francis Miti: Polisi kuua raia ni ajali kama basi lilivyoua wanataarabu!

DUUUU hao wakuu wa wilaya ndio watakao simamamia mchakato wa katiba wilayani..huyu eti ni mwakilishi wa rais ila simlaumu yeye namlaumu alie mpa huo ukuuu wa wilaya...bado tuna safari ndefu yaukombozi
 
Kwenye thread kama hizi, huwezi kumuona Nape wala Mwigulu wakichangia.
Kweli kuitetea CCM inabidi uwe na akili ya maiti
 
Haya ndiyo madhara ya kukabidhi MAISHA yetu kwa mtu mmoja anayeitwa RAIS. Anateua hadi watendaji wa VIJIJI, hayamukiniki Rais kumteua mtu kama huyo mkuu wa Wilaya wa Ulanga. Watu wamepingwa RISASI tena wakiwa wametii AMRI kwa kunyanyua mikono juu, yeye kwa KEJELI anasema ni ajali kama ajali iliyoua wana taarabu wa modern taarabu. Hivi kweli kama wewe ni KIONGOZI wa wananchi unaweza kutamka maneno hayo!

Nitashangaa sana ASASI za KIRAIA kama hazitamshikia BANGO huyu DC aachie ngazi. Kama asasi hizo ziliweza kumshikia BANGO DC wa BKB Vijini aliyewachapa waalimu viboko hadi akajiuzulu je Huyu firauni anayehamasisha POLISI kuwa RAIA in cold blood.

Mambo kama haya ndiyo yanazidi kutuapatia hoja na nguvu kwamba hizi nafasi za U-DCs na U-RCs haziatakiwa ziwepo kwenye katiba mpya.
 
kAULI HIYO SERIKALI INAPASWA KUITOLEA UFAFANUZI WATASUBIRI UPINZANI WAKIHOJI NDIO WAANZE KUSEMA' Ooh haikuwa kauli ya serikali' Mnamkumbuka mkuu wa wilaya ya Bukoba alipowachapa Viboko waalimu kwa kuchelewa kufika shuleni wananchi walipohoji ndipo alistaafishwa, utendaji wa vio9ngozi wetu wa umma ni kutiliwa mashaka
 
Haya ndio matatizo ya kuwa na viongozi wa kisiasa wasio wakuchaguliwa. Tuiunge mkono CHADEAM ili ituondolee mfumo mbovu wa uongozi kama huu.
 
Wanaongea kama wanaharisha kwa sababu wanajua sisi watanzania ni kama wale nyumbu wa manyara. Unafikiria nchi yenye raia makini kiongozi atathubutu kufanya au kuongea unyama kama huu.... ?

simshangai kwa sababu hata kuzaliwa kwake yeye mkuu wa wilaya ni kwa bahati mbaya tu kama embe ilivyokua juu ya muembe
 
hajui hata wajibu wake. hata mimi nilimshangaa, badala ya kusema hatua za kuchukua anasema ni ajali. akili zake kama za bosi wake
 
Thamani ya Maisha hamna kabisa....

Kwahiyo wale marehemu ndio kwisha habari yao just like that?? Kama kumuua nzi tu??

Nilijisikia kuichukia hii nchi jana wakati namuangalia yule jamaa eti mkuu wa wilaya......
 
Itafikia wakati hatutahitaji viongozi.Siku hizo haziko mbali..Mkuu huyu wa Wilaya ni mshenzi mkubwa niliyewahi kumjua Tanzania.Ndugu njooni tumshtaki huyu Firauni.
 
Nimeshituka sana na hii thrad nilichojifunza hapa hawa viongozi wangeuawa na watoto wao au wake zao ndo wange funza
 
Hakuna wilaya ya Mahenge

Mkuu, kwa hiyo? Kama hakuna wilaya ya Mahenge
basi hakuna waliouawa?

Logic ya ajabu kabisa hiyo!!

Ulitakiwa useme Mahenge ni makao makuu ya wilaya ya Ulanga, tosha, siyo
kukanusha tu halafu hutoi maelezo yoyote.

Au wewe ndiwe mwenye kutoa hiyo kauli yenye kutia kichefuchefu?
 
amjaumia kama mm nilivyo umia ningekuwa boc wake mpaka saizi angekuwa hana kazi
 
kilalabuyaga;3583410]Nimeshituka sana na hii thrad nilichojifunza hapa hawa viongozi wangeuawa na watoto wao au wake zao ndo wange funza[/QUOTE]

dharau kama hizo za viongozi wapuuzi kama hao ndizo zilipelekea ndugu Mwamwindi (rip) kumshoot Rc Kleluu kule Iringa, nafikiri ndiko wanakotaka tuende.
 
kAULI HIYO SERIKALI
INAPASWA KUITOLEA UFAFANUZI WATASUBIRI UPINZANI WAKIHOJI NDIO WAANZE
KUSEMA' Ooh haikuwa kauli ya serikali' Mnamkumbuka mkuu wa wilaya ya
Bukoba alipowachapa Viboko waalimu kwa kuchelewa kufika shuleni wananchi
walipohoji ndipo alistaafishwa, utendaji wa vio9ngozi wetu wa umma ni
kutiliwa mashaka

Mkasi haukati mpaka ushikwe nyuma.
 
Back
Top Bottom