France vs Northern Ireland

...daaah, Thierry Henry na 'mkono wa mungu'...
France nao haooo...

Gud Goal Gallas!


I am very disappointed that the goal was allowed to count, its not fair to Ireland and is not fair to football... the worst team won, simply because of stupid linesman and a referee!!

If i was Irish i would appeal

Yaani watu wanacheat mitihani yote ya maisha hadi world cup

Gaddemit!!!
 
Hii ni timu ya ufaransa au Nyota Nyekundu ya Kariakoo....?? gademu mablakino!

quemu-albums-funny-pictures-picture758-french.jpg
 
Kuna umuhimu wa kuongeza marefa kwenye game kama hizo,France hawakustahili kwenda kombe la dunia
 
France wachovu,le capitaine liliona licheat si mchezo,hayo ndo maisha hata maradona alicheat na kombe wakabeba.Ila kwa wanavyocheza hawatafika mbali labda wabahatishe kundi la vibonde walau waingie kwenye nane bora
 
It is not fair kwa kweli...........however........utamu wa Football ndio huo.........hii sio tennis......
.......inauma sana though.........
 
Kwa goli la jana hiyo ladha ya mpira ilishaharibika
Ninachosema game crucial kama hizi kuna umuhimu wa kuongeza waamuzi

Hizo kontravesi ndio zinazoifanya game kuwa eksaitingi sasa kukiwa na uamuzi so pafekti itakuwa hakuna tofauti na kompyuta gemu au plei stesheni.
 
I am very disappointed that the goal was allowed to count, its not fair to Ireland and is not fair to football... the worst team won, simply because of stupid linesman and a referee!!

If i was Irish i would appeal

Yaani watu wanacheat mitihani yote ya maisha hadi world cup

Gaddemit!!!

Kwa kasi ya mpira na msongamano wa wachezaji isingekuwa rahisi linesman and referee kuona. Hata sisi tuliona baada ya replays.

Nilikuwa naangalia kupitia French Channel - wao wanadai haki ilitendeka kinamna kwa sababu walinyimwa penalt ya wazi - kuna wakati Anelka aliangushwa refa akapeta.

Anyway - Republic of Ireland wanaweza kukata rufaa wakarudiane nao Sudan :)
 
Kwa kasi ya mpira na msongamano wa wachezaji isingekuwa rahisi linesman and referee kuona. Hata sisi tuliona baada ya replays.

Nilikuwa naangalia kupitia French Channel - wao wanadai haki ilitendeka kinamna kwa sababu walinyimwa penalt ya wazi - kuna wakati Anelka aliangushwa refa akapeta.

Anyway - Republic of Ireland wanaweza kukata rufaa wakarudiane nao Sudan :)
hahahaha umenifurahisha ya Algeriz na mafarao,
 
Ireland captain Robbie Keane has hit out at the presidents of FIFA and UEFA following his country's controversial World Cup exit in Paris, claiming they would be "delighted" that France had gone through.

francegoal20091118_275x155.jpg

Gallas puts the ball in the net as the Irish defenders appeal for handball


Les Bleus striker Thierry Henry clearly used his hand to set up William Gallas' decisive goal as France levelled Keane's opener at the Stade de France to draw 1-1 on Wednesday night, winning the two-legged tie 2-1 on aggregate.

After the match, an angry Keane lambasted FIFA's 11th hour decision to seed the World Cup play-off draw in favour of the big teams, which ultimately pitted the Irish against France, and the Ireland international claims FIFA president Sepp Blatter and his UEFA counterpart Michel Platini got the result they would have wanted.
"Of course it is an easy decision to do the seedings," Keane told BBC Radio Five Live. "They're all probably clapping hands, Platini sitting up there on the phone to Sepp Blatter, probably texting each other, delighted with the result, with France (getting through)."
The Tottenham Hotspur striker claims that when it emerged that established football powers such as France, Portugal and at one stage Germany could be involved in the play-offs, football's governing bodies quickly went back on their initial decision not to seed the knock-out ties.
Keane said: "Germany had a chance of being in the (play-offs) as well. With two massive countries, there's no way in a million years is there going to be fair draw."
Ireland's assistant manager Liam Brady also took a swipe at the seeding system and blamed FIFA's weighted draw for heaping a huge amount of pressure on referee Martin Hansson.
Brady said: "I would maybe look at what happened three months before and the fact that these seedings for the play-offs were made to favour the bigger teams. I would ask why that went on.
"The pressure on referees is enormous then. The pressure is too much to bear and I hought the referee up until then had refereed the match in fine fashion, but he succumbed under pressure."
After the match, Henry admitted the ball did strike his hand and claims he told the referee, who chose to allow the goal to stand.
The Barcelona striker said: "The ball hit my hand, I will be honest. It was a handball, you can clearly see it. (Sebastien) Squillaci went to jump with two Irish players, I was behind him and the next thing I know the ball hit my hand.
"It was a handball, but I'm not the ref. I told (the referee) but he said to me the same: 'You are not the ref.'"
Ironically, if Platini's brainchild of having two extra assistants behind the goal, which the Frenchman is trialling in the Europa League, had been in action, Henry's handball would have been detected and the UEFA chief's countrymen prevented from progressing.
 
Mimi nilikuwa nataka sana France waingie kwenye World Cup Final lakini kwa goli hili ambalo halikuwa halali basi mechi hiyo irudiwe tena katika Uwanja neutral labda Holland ili apatikane mshindi halali. FIFA wasijikanyagekanyage kama wanataka kupromote fair play basi mechi ile lazima irudiwe.
 
blatter na platini wanaua mpira.haya mambo yakutaka kulazimisha timu zenye majina makubwa kupita ndio kisa la lile goli kuwepo kwani ilikuwa hamna jinsi ya kumbeba france zaidi ya pale.hata hio rufaa ikikatwa sidhani kama fifa watataka game irudiwe kwani yale matokeo ndio walikuwa wanayataka.kwanini hakukuwa na fair draw ya play offs wakaenda kutumia mambo ya top seeded timu? world cup inatakiwa hiwe open for every country that can make it without any favour.

hawataki video replay sasa utaenda kutumia sheria gani kurekebisha makosa kama haya? hakuna kwa vile maamuzi ya refa ndio ya mwisho.

lazima kitu kifanyike kabla ya kombe la dunia la sivyo mpira unaelekea pabaya kisa wakina blatter washaweka biashara mbele zaidi kwa sasa.
 
Fiafa wame-confirm kwamba wamepata maombi ya kurudia mechi kutoka kwa chama cha mpira cha ireland sasa tusubiri uamuzi wao utakuwa hupi.na kama watakubali warudiane je mechi ngapi zitarudi in future? au wakirudiana FIFA wako tayari kukubali technology itumiwe hili kuepukana na mambo kama haya?
 
Fiafa wame-confirm kwamba wamepata maombi ya kurudia mechi kutoka kwa chama cha mpira cha ireland sasa tusubiri uamuzi wao utakuwa hupi.na kama watakubali warudiane je mechi ngapi zitarudi in future? au wakirudiana FIFA wako tayari kukubali technology itumiwe hili kuepukana na mambo kama haya?

Michael Platin sidhani kama atakubaliana na hili ombi!
 
Michael Platin sidhani kama atakubaliana na hili ombi!
hawezi kukubaliana hata kidogo kwa sababu alichokuwa anataka ndio kimetokea na nina wasi wasi mkubwa yule refa atakuwa kafanya maksudi.

haiwezekani mtu ashike mpira mara mbili wazi wazi na ikubalike.
 
Hii mechi ndio imetoka, kweli goli ni la utatanishi lakini sidhani kama Fifa watakubali pambano lirudiwe,na wakianza kufanya hivi wataharibu soka kabisa! Itakuwa sasa kila wrong decision mechi inarudiwa can you imagine kama ligi za Premier, La liga na Serie A mechi zitarudiwa naona itakuwa msimu hauishi,tunamaliza August na sio May.
 
Back
Top Bottom