France - Timu nzima ya senegal imeingia mitini!!

Hahahahaa! Inaelekea wachezaj waligundua kuna ubabaishaji wa uongozi wa timu! Shame on them!
 
ha ha ha ha mambo ya kujiwasha haya aka kujilipua au kujichoma moto mzimamzima!
 
sio hao tu wachezaji wa azam nao waliingia mitini karibia wote sweden baada ya mechi,wakamuachia kocha arudi na paspoti:majani7:
 
Back
Top Bottom