Francais/Deutsch/Spagnola/Italiano

Bahati mbaya nimeona ujumbe huu leo, lakini ninaweza kutoa mchango wangu kidogo.
Kwa wale wanaohitaji kujifunza Kispanish au ESPAÑOL, mimi ninaweza na niko tayari kuwasaidia, kupitia mtandao.
Kwa kuanzia, fungua kiunganishi hiki ambamo unaweza kujifunza ile ya msingi kabisa:

Learn Spanish - Spanish Online - SpaniCity


Kwa msaada wa ziada wasiliana nami kwa:
farsiy@yahoo.co.uk
au: +34 608089395
skype: farsiy


Kila la heri.

Gracias mamamia. nitaanza karibuni nakipenda sana

aste manyana:)
 
aisee natamani sana kujua kifaransa,kispaniola na kijeremeni
naanza na iyo link
 
aisee natamani sana kujua kifaransa,kispaniola na kijeremeni
naanza na iyo link

huna hamu ya kujua kimatumbi, kihehe na kingoni......kama ndio niko tayari kukufundisha..........bureeeeeeeee
 
Hola todos, vivo en dar y quiero aprender español pero mi espanl es malo. Plz any one in dar 2mit so we cn talk mr ili kikae vzr mdomoni
 
Ich mochte deutch lernen kanst du mir helfen mein deutch ist nicht gud
 
Back
Top Bottom