Frame ya duka natafuta

umeshapata frame.ipo frame bei yake ni 150,000 kwa mwezi,maongezi yapo,frame ni nzuri inajitegemea umeme wa luku,ina grill la kuslide,kuna choo,kwa sasa inatumika kwa ajili ya water distribution,ila biashara inataka ku-relocate,so mkataba uta haulishwa ukiipenda
cheki it out ktk google maps
wibu street kinondoni dar es salaam - Google Maps
 
Hapana bado. Ngoja niwaambie jamaa zangu waende kuingalia na kama itawafaa.

Nashukuru sana kwa information na ngoja tuangalie kuifanyia kazi. Asante sana.

umeshapata frame.ipo frame bei yake ni 150,000 kwa mwezi,maongezi yapo,frame ni nzuri inajitegemea umeme wa luku,ina grill la kuslide,kuna choo,kwa sasa inatumika kwa ajili ya water distribution,ila biashara inataka ku-relocate,so mkataba uta haulishwa ukiipenda
cheki it out ktk google maps
wibu street kinondoni dar es salaam - Google Maps
 
Wakuu,

Natafuta Frame ya duka maeneo ambayo yanafikika kiurahisi. Isiwe kubwa sana na wala ndogo sana.

Ningelipendelea maeneo kama Kinondoni, Mwenye, Sinza, Ilala na Ubungo.

Lengo hasa ni kuuza vipodozi (Perfumes) kwa bei ya rejareja na jumla.

Naomba tuwasiliane kwa email SSAMBALI@hotmail.com au nipe PM.
Mkuu SSAMBALI!
Mimi nilikuwa natamani sana kufanya hii biashara ya vipodozi lakini sina ujuzi nayo. Vipi unaweza kunipa ka-mwanga kidogo? Inalipa? Nina fremu maeneo ya Sinza ambayo kwa sasa inafanya biashara nyingine lakini nilikuwa nataka kama kuna namna niigeuze iwe ya vipodozi... tuunganishe mawazo na nguvu basi. Kwa sasa niko nje ya Tz lakini mwezi wa 8 nitakuwa nimesharudi
Cheers!
 
Mkuu Waka,

Kuna watu nafahamu wametajirika na wengine wamefilisika. Na kama kila aina ya biashara. Inategemea matangazo yako, eneo lilipo duka, bei zako, muuzaji yuko sharp kiasi gani nk. Ni kama hotel zipo eneo moja, moja nzuri na haina watu na nyingine ya kawaida ila ina watu wengi tu wamekaa.

Mie nauza jumla kwa bei nafuu sana ukilinganisha na ubora. Unaweza kuchukua kadhaa na nikakupa na Tester ili watu wajaribu. Kama unauza nguo au vitu vinavyofanana na hivyo, unaweza kuwa nazo chupa kadhaa na ukawa unauza. Ila kwa mfano unauza mbao au cement na ndani unaweka perfume basi itakuwa ni shida sana. Si mbaya kama unauza vyakula maana inaweza kuwa mtu kaja kununua unga na sabuni na ghafla anaona perfume au vipodozi vingine.

Nafikiri inalipa kwani kwa sasa kuna Order kadhaa zimeshawekwa kiasi kwamba mzigo ukifika tu, watu wanachukua. Mzigo ukifika basi ntakujulisha na uende kuziangalia. Ila bei zetu kwa jumla Max kwa chupa moja ni Tsh.20,000 na huenda zikapanda hadi Tsh25,000. Nyingine zote ni chini ya hapo. Ila nina uhakika wengi wanauza kwa rejareja hadi Tsh.40,000/ kwa chupa au hata zaidi maana sijui wanauzaje kwenye maduka yao. Wengine wananunua na kuuza mashuleni au ofisini.

Zangu si bei nafuu kama za Kichina ila pia si bei mbaya kama zinazouzwa laki moja kwenda juu. Quality yake zinakaribia sana hizo za bei mbaya ila kwenye bei ni nafuu mno kwa sasa maana tuko kwenye Promotion. Huko mbeleni zinaweza kupanda kidogo bei hasa kiwandani wakianza kuniuzia kwa bei ya kawaida maana sasa hivi wamenipa Discount kubwa na mie naitumia kwa kuuza bei nafuu. Wengi wakitumia asubuhi, wanashinda na manukato siku nzima na hata wakioga bado inabaki kwa mbali.

Karibu uanze kwa chupa kadhaa na utaona kama inalipa au hailipi.

Ahsante kwa majibu yako mkuu. Mimi nipo kwenye nguo lakini nilitaka nibadilishe kabisa nifanye kitu kingine. Anyway kuna mish-mish fulani hivi zinaendelea mambo yakiwa mazuri nitaku-contact ili nijaribu....
Cheers!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom