Frame ya biashara inahitajika

bagain

JF-Expert Member
Jul 21, 2011
361
222
Wana Jf,

frame inahitajika haraka, iwe eneo la kkoo upande wa kuelekea TBL ukianzia msimbazi road. Si lazima kuwa karibu na barabara ya msimbazi.

Matumizi: graphics design works, stationary services etc
 
Back
Top Bottom