Ushindwe na ulegee kwa maneno yako 'machafu', badili tabia yako!hata ukiwa na mke mzuri unatakiwa uwe na nyumba ndogo
Sidhani kama ipo.
ila sanasana mtu akitoka forums yenginezo akaja JF hatoki humu.
labda nikupe PERMANENT BAN!
imekaaje?
Ushindwe na ulegee kwa maneno yako 'machafu', badili tabia yako!
Hamjambo wana jf, naomba mnijuze kama kuna anayejua forum nyingine tamu au inayofanana na jf, kama mnavyojua kila siku mboga hiyo hiyo inachosha, ukilala jf..ukiamka jf. na ndio maana hata ukiwa na mke mzuri unatakiwa uwe na nyumba ndogo
ni kweli kabisa bwana gambler ameongea point sana, nashangaa hapo wakubwa wanataka kum ban!! jamani......
kwa hiyo umetangaza biashara huria hapa??jamani mbona mnanishambulia, nimekusalikieni vizuri, nimewaomba mnijuze, kama hamjui si mseme tu, mnakosa uungwana! sasa hivi kuna biashara huria, au hamlijui hilo?
Wahenga walisha sema "mchagua nazi hula koroma"sasa wewe hangaikia hizo forums nyingine alafu uone kama haujaambulia mauza uza!!Hamjambo wana jf, naomba mnijuze kama kuna anayejua forum nyingine tamu au inayofanana na jf, kama mnavyojua kila siku mboga hiyo hiyo inachosha, ukilala jf..ukiamka jf. na ndio maana hata ukiwa na mke mzuri unatakiwa uwe na nyumba ndogo
Hiyo ni blog!Ajaribu Michuzi
Mmmmh hapa GP unataka ugomvi!sasa umefika wakati wa kuchuja baadhi ya JF members kwa pumba zao.
ndio maana hata ukiwa na mke mzuri unatakiwa uwe na nyumba ndogo
jamani mbona mnanishambulia, nimekusalikieni vizuri, nimewaomba mnijuze, kama hamjui si mseme tu, mnakosa uungwana! sasa hivi kuna biashara huria, au hamlijui hilo?
Hivi mtu kama wewe ungekuwa m/mke halafu mumeo anajivinjari huko mtaani na nyumba ndogo unazozizungumzia ungejisikiaje? Au wewe ungekuwa ni m/ke ungekubali kuwekwa nyumba ndogo ya mtu?
wewe Pape lazima, piga ua , wewe ni mwanamke, na unataka kutuletea mfumo jike!!Hivi mtu kama wewe ungekuwa m/mke halafu mumeo anajivinjari huko mtaani na nyumba ndogo unazozizungumzia ungejisikiaje? Au wewe ungekuwa ni m/ke ungekubali kuwekwa nyumba ndogo ya mtu?
----Haki sawa kwa wote kwa nini wanaume wawe na nyumba ndogo? je wanawake nao wakitaka kuwa na nyumba ndogo mtaani waume zao watakubali na kufurahia?