Forum ipi unaanza nayo ukifungua jf

Huangalia mada nzito maana wengine hata tukitoa vitu hakuna anayechangia hata viwe muhimu ila kwa wale wanaofahamiana hata pumba wanachangia tu....
 
Good!, Kila mmoja na anachokipenda, wakati wengine hawajawahi kuingia Sayansi kwa miaka mitatu mfulililizo, wengine ndo huanza na kumaliza hapohapo!, lakini hivi kuna ambao hawagusi Photos au mapenzi kabisa?
 
mapenzi banaaaa kuna kuna mambo kule! watu wananyonyesha mpaka wana co.. duh sijawah ona
 
Unapofungua JF where do u start, Kuna wengine wanaanzia Jamii photo, wengine International, Wengine Siasa, Wengine, Kwa Docta kule, Wengine wanaanzia Inteligence, basi kila mmoja na upande wake, WEWE HUWA UNAAZIA WAPI?, To be honest mie huwa naaziaga Hoja na Habari Mchanganyiko!

Today's Posts halafu topiki itakayonivuta naizoom!..
 
Huwa nabadilisha kila siku jukwaa la kuanzia, ila jukwaa la dini sijawahi gusa ngoja leo nikajaribu kuona kinachoendelea huko.
 
Siendi na forum, naenda na "New Post" hivi ndivyo browser yangu ilivyofanywa.
 
Mambo ya Kikubwa, Mapenzi, baadaye siasa. Zamani nikuwa naanzia Siasa lakini siku hizi naumia sana kila nikikuta mambo ya Downs na mafisadi. Bora kwanza nianzie huko kwenye raharaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom