Former TIC Executive Director, Emanuel Ole Naiko

Mkuu umenichekesha kuliko kutokana maoni yko yalivyo na ncha kali zaidi ya msumari wa moto!!!!!!!!!!

Wapi tuko sahihi kama taifa. Mkuu the country is in mess, we are not thinking as a nation. Jarabi kufukiri Tanzania ikiamka huwa inafanya kazi gani au inafikiri nini, huwezi kupata jibu.
 
Mkuu Maxence yule pale pembeni anayeonekana kuongea na simu si wewe kweli?????????

Hujui?
3%2B%25281%2529.JPG

Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.

Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.

Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.

Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.
Acha uwongo.
Nyerere alikamata mashamba yote ya Tiny Rowlands baada ya mzungu huyo kuingilia sera za ukombozi wa Zimbabwe. Akaenda kulalamika London na Lusaka lakini hakufua dafu. Nyerere alikuwa chiboko! Sio hawa wenye tabasamu na kuuza nchi to the lowest bidder! Symbion na Dowans lao ni moja. Ni ufisadi wa Kikwete.
 
Tanzania expropriated the 19 Lonrho-held companies, most of them tea estates and trading firms dealing in automotive and agricultural products, citing the multinational's continued "meddling" in the politics of Southern Africa. Since the September 1978 expropriation, Lonrho and Tanzania have engaged in acrimonious negotiations over what constitutes fair compensation for the assets. The two sides are reportedly far from a settlement, with Lonrho demanding some $40 million-about eight times what Tanzania is offering.

Soma zaidi: Multinational Monitor, February 1980

Mbona hapa kama vile unaji-contradict? Au Kiingereza hakipandi? Tuonyeshe ni wapi Tanzania iliilipa Lohnro.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Some World Bank officials who have followed the dispute privately suggest that Lonrho's broadside against Tanzania may not make financial ' sense for the company. Tanzania's President Nyerere is well known for his willingness to sacrifice foreign aid when he believes principles are at stake. In November, Nyerere rejected an aid program proposed by the International Monetary Fund that included conditions he believed would place intolerable hardships on his country's peasant majority. "People who think that Tanzania will change her cherished policies of socialism and self-reliance because of the current economic difficulties are wasting their time," Nyerere said.

The same dynamics may be at work in the Lonrho dispute. "(t would seem to me that private negotiations are in order," said one Bank observer. "Instead of sending cables all around the world, Lonrho should be trying to quietly negotiate. I think Rowland may be making a mistake here, by underestimating Nyerere's resolve to withstand strongarm tactics."

Nyerere alikuwa chiboko!
 
Kwa Tbl sawa ila Barrick sio sawa.Former Prime Minister Msuya ndo anaongoza Tbl kule mnajua mmenyamza kimya mnakuja kunyanyua midomo kwa huyu.Au Hilo kwako ni geni
 
Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.

Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.

Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.

Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.
Mwanakijiji?? Haiwezekani.
Kwa hiyo humu ndani ndo anatuchota akili?
Katika maisha ya binadamu kuna kukata tamaa na naamini Mwanakijiji alikata tamaa kuwa hataweza ku achieve alichotarajia ndo maana akaamua kukaa kimya.Inawezekana nibaada ya kugundua kuwa mizizi ya issue yenyewe haigusiki wala kungoka mpaka 2015.Hii inaonekana kuwa hulka ya Watanzania wengi,kuna mahali tunaamua kuingia ndani kufunga mlango na kulala na juzi tumeliona kwa ULIMBOKA.Pamoja na mateso yote kaamua akae kimya yapite.
 
Kwa Tbl sawa ila Barrick sio sawa.Former Prime Minister Msuya ndo anaongoza Tbl kule mnajua mmenyamza kimya mnakuja kunyanyua midomo kwa huyu.Au Hilo kwako ni geni
Si sahihi kabisa kulinganisha hili na la Msuya.Kigezo ni kimoja tu TIME lapse since retirement to becoming board Chairman.
 
Acha uwongo.
Nyerere alikamata mashamba yote ya Tiny Rowlands baada ya mzungu huyo kuingilia sera za ukombozi wa Zimbabwe. Akaenda kulalamika London na Lusaka lakini hakufua dafu. Nyerere alikuwa chiboko! Sio hawa wenye tabasamu na kuuza nchi to the lowest bidder! Symbion na Dowans lao ni moja. Ni ufisadi wa Kikwete.

Cheza na Tiny wewe?

Soma hii:

Agreement with Lonrho
Agreement has been announced between the Tanzanian Government and the multi-national firm Lonrho over the compensation to be paid for the Lonrho assets in Tanzania, which were nationalised in 1976.

Source: Tanzanian Affairs » DIGEST OF TANZANIAN NEWS
 
For sure, hed did a very good job to facilitate what you see and hear about Barrick!!!

Well said brother! That is exactly what it means! This is not a Ceremonial post to Ole Naiko but rather a ''thanks giving kind of a post to him''!
 
Kwa Tbl sawa ila Barrick sio sawa.Former Prime Minister Msuya ndo anaongoza Tbl kule mnajua mmenyamza kimya mnakuja kunyanyua midomo kwa huyu.Au Hilo kwako ni geni

Unashindwa kunyumbulisha mambo! Jiulize, TIC Vs Barrick na TBL Vs Prime Minister's Office. Mabosi hawa wa ofisi hizi mbili ni nani amekuwa na ushawishi mkubwa kwa kampuni husika? Na pia imepita muda gani kutoka madarakani mpaka kupewa hiyo nafasi?. Funguka mkuu, acha u bishi! Na ukumbuke kuwa, wao kumweka pale, Kiulize kama kuna issue yoyote ya ukiukwaji wa jinsi ya kuendesha Investments under TIC umbrella nini kitatokea??
 
Huyo mzee ameshastaafu.

Serikali imeweka taratibu za cooling off period kwa watendaji wengine wakuu wa serikali nadhani sehemu hiyo wameisahau.Huyo bwana ilibidi awe amepumzika mimi mwenyewe nilishangaa kidogo.
 
Si sahihi kabisa kulinganisha hili na la Msuya.Kigezo ni kimoja tu TIME lapse since retirement to becoming board Chairman.

Nakubaliana na wewe kaka kuhusu time hata wamarekani wana huo utaratibu kwamba rais BUSH hadi sasa unaweza kukuta hajarudi Texas kuendeleza kilimo kwakuwa muda haujafika. Ila Msuya alikuwa PM ni cheo kikubwa sana anatakiwa awe amepumzika anakula pensheni au anatakiwa awe anatoa mihadhara tu kwa wanafunzi.
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

Kuna wakati alilalamika kuwa watu wa Arusha wnaonewa. Hii ni wakati mh "Mamvi" alipoachia ngazi. Hivyo kumjadili mnawaonea watu wa Arusha
 
Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.

Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.

Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.

Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.

Kwa hiyo unamaanisha Symbion walimhonga hadi Mwanakijiji
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Captain22, as you've said it, (former) he is now retired, so what is a problem?

Yes the mining companies are highly favored because their FDI is very huge! They enjoy the investment incentive provided by the law and the mining act that was passed by our dear parliamentarians, so where does Ole Naiko come along? We have a big team of hate preachers over here, watch out you might be joining the team without your knowledge, a public servant is only a public servant when he is in public office, a retired public servant is no longer a public servant and he deserves the best after his/her retirement!

If you think being a board chairman of ABG is a way of thanks giving from Barrick, what will you say if they'll reveal the names of gold bars presents to the top brass?

If you have anything credible against him, just bring it up, otherwise please stop any unfounded allegations just to create hatred, just leave Ole Naiko Alone!.

Pascal.

I think maswali yanakuja kwa sababu mtu kama Governor wa benki kuu atakapomaliza kipindi chake hatakiwi kujihusisha na commercial bank yeyote iwe kama mshauri au kama Board member au CEO au vinginevyo hadi miaka 3 ipite. Hii kanuni ipo lakini serikali ilisahahau kuweka kwenye sehemu nyingine utaratibu huu. Ni utaratibu mzuri kwakweli ila inapendeza iwapo hawa watu unawaandalia mafao ya kutosha ili wasihangaike tena kutafuta kazi.
 
Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.

Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.

Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.

Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.

Mkuu nakumbuka enzi za LORNHO kulikuwa na kichwa pale, mzee mmoja anaitwa S.K.George, sijui aliishia wapi huyu mtu!
 
Last edited by a moderator:
Some World Bank officials who have followed the dispute privately suggest that Lonrho's broadside against Tanzania may not make financial ' sense for the company. Tanzania's President Nyerere is well known for his willingness to sacrifice foreign aid when he believes principles are at stake. In November, Nyerere rejected an aid program proposed by the International Monetary Fund that included conditions he believed would place intolerable hardships on his country's peasant majority. "People who think that Tanzania will change her cherished policies of socialism and self-reliance because of the current economic difficulties are wasting their time," Nyerere said.

The same dynamics may be at work in the Lonrho dispute. "(t would seem to me that private negotiations are in order," said one Bank observer. "Instead of sending cables all around the world, Lonrho should be trying to quietly negotiate. I think Rowland may be making a mistake here, by underestimating Nyerere's resolve to withstand strongarm tactics."

Nyerere alikuwa chiboko!

Nyerere ndio mjanja so far...wengine waendelee kujikomba kwa wathungu
 
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

Umbea huo, peleka michuzi blog na global publisher
 
Back
Top Bottom