Former - Rais wa Maldives akipata kibano na polisi siku 2 baada ya kujiuzulu..

Tulizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
848
662
Siasa ni mchezo mchafu sana...Juzi Jamaa aliamua kujiuzulu ili kuepusha umwagaji damu... Leo polisi waliokuwa chini yake siku chache zilizopita wanamfanyizia....

[video=youtube_share;n7aPWAx9VUI]http://youtu.be/n7aPWAx9VUI[/video]
 
Sijajua ni kwanini hata kama Rais kajiuzulu na bado hana walinzi wa kumlinda na inawezekana kwa yeye kuwa sehemu kama ile hata baada ya kuwa bado nchi ipo katika hali ya tahadhari kubwa.
Kwangu inabaki kuwa ajabu na sioni uhakika wa picha hizi,ila ndio maisha yalivyo ukiwa nacho unaheshimika kikitoka hakuna anayekujali tena.
 
Kuna mchezo mkubwa wa kisiasa unaendelea kule Maldives.Nasheed aliondoka kwa kujiuzulu lakini ukweli ilikuwa ni Coup ya polisi na baadhi ya wanajeshi ambao ni vibaraka wa rais wa zamani....Kilichomuondoa haraka ni kutoa amri ya kukamatwa kwa Jaji ambaye anadai yuko mkononi mwa rais wa zamani na hatendi haki....

Kwa wenzetu mambo huwa yanabadilika haraka sana.. na sasa wanataka kumkamata rais huyo wa zamani kama mhalifu..unaweza soma hapa Minivan News*|*FIRST FOR INDEPENDENT NEWS IN THE MALDIVES
 
Back
Top Bottom