Former IGP Harun G. Mahundi IS NO MORE

Polen wanafamilia na wafiwa wote kwa ujumla. Tunaungana pamoja katika kipindi hiki cha majonzi.
Rip Kamanda Mahundi
 
RIP General! Ntakukumbuka daima kwa wema wako. Kwa taarifa huyu hakuwa Haruni bali Aron au ukipenda Aaron Mahundi!
 
RIP Kamanda Mahundi. Huyu alikuwa IGP wa mwisho Tanzania aliyefanya kazi yake kwa umakini. Waliofuata baada ya yeye ni wizi tu kwa kwenda mbele. Pumzika kwa amani mzee wetu.
 
Mzee wetu Mahundi pumzika kwa amani. Tulifanya kazi kwa karibu na kwa ufanisi katika nafasi yako uliyishikilia katika kipindi hiki cha mwisho cha uhai wako. Tutaendeleza yale ambayo umetuachia
Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yako mahali pema peponi. Daima tutakukumbuka.
 
Back
Top Bottom