Former German President Horst Kohler : KUKUTANA NA VIONGOZI WA CHADEMA - ARUSHA

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
RAIS mstaafu wa UJERUMANI Hosrt Kohler atakutana na viongozi wa kitaifa wa CHADEMA mjini Arusha siku ya Ijumaa tarehe 17 Juni 2011.
Taarifa zaidi ya kikao hicho tutawaletea baadae.

source: chadema Arusha
 
Wanakutana kwenye hotel ya Mt Meru...Viongozi wa kitaifa ni pamoja na Freeman Mbowe na Dr W. Slaa......
 
This is good,CDM wanapata credibility!

Nadhanai wapo wengine wenyekuitakia mema hii nchi watatuunga mkono kama huyu mzee
 
imekaa vizuri hiyo Chadema inabidi kukaa kimataifa zaidi. kwani soon tunawapa nchi hata kabla ya 2015.
well done wapiganaji go go
 
Huyu x-president aliunga mkono hoja ya kuondoa posho kwa wabunge +gvt officials
Hongera CDM
 
Ni hatua nzuri sana. Nawapongeza CDM kwa kupata wasaa huo muhim. Ni dhahiri kuwa hoja zao zimeanza kuwavutia hata hao wakubwa
 
Naomba kufahamishwa, huyo ex- presda upo hapa nchini kwa shughuli gani, na akiwa kama mtu binafsi au anawakilisha kundi fulani?

shukrani....
 
Kazi bado ngumu, tusichekelee kwani ndio kwanza tunavunja pori
kazi ni ngumu kweli kweli maana mtu ambae alishazoea kutafuna minofu kwa miaka 50 leo akiona kuna mtu anataka kupokonya atatumiamarifa yake yote kupambana na wewe....lakini kwenye bold sijakusoma mkuu....
 
Naomba kufahamishwa, huyo ex- presda upo hapa nchini kwa shughuli gani, na akiwa kama mtu binafsi au anawakilisha kundi fulani?

shukrani....
sina uhakika kama ni yakibinafsi au ya kiserikali lakini kwa taarifa nilizo zipata ni kuwa hata balozi wa ujerumani anae alikuwepo hii inaashiria ni swala la kiserikali...Upande wa CHADEMA yupo pia Katibu wa Chadema Arusha, Mallah ambae ni mgombea meya jiji la Arusha
 
kazi ni ngumu kweli kweli maana mtu ambae alishazoea kutafuna minofu kwa miaka 50 leo akiona kuna mtu anataka kupokonya atatumiamarifa yake yote kupambana na wewe....lakini kwenye bold sijakusoma mkuu....
Subirini chama cha magamba watasema hizo ndizo nchi zinaifadhili chadema kuvuruga amani kwa maandamano. Hawa jamaa hawakosi hoja nyepesi. Mwaka huu lazima tuwakamue ...vi hata kwa nguvu. Go chadema, go Prezidaa wa ukweli Dr. Slaa,go Mbowe go.......
 
Mkuu kwa idhini yako naomaba kusahihisha hapo kwenye red:- WATAROPOKA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom