Form6 leaver wetu jamani kueni makini katika kuapply tcu

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Nawashauri form6 na mnaoaply Elimu ya juu kuanziamwaka 1988 hadi sasa.Wengi wenu mnaaply tu kwa sababu kuna kuaply.Angalia Perfomance yako,angalia uwezo wa kiuchumi kwenu na Angalia loan capacity ya kozi,co unajaza tu kutafuta ujiko ama tittle mtaani,angalia intake capacity-Programme ina uwezo wa kubeba watu wangapi na ususahau soko la ajira kwa baadaye.Kwa ushauri kama Umeshindwa kabisa kuwapata TCU,ama Huna Giide Book,Nipigie kwa+255712336687.Napenda Niwasaidie Mana Nilipata Tabu Kapply sb Teknolojia Tanzania Ndogo.Asnteni
 
Bila hela Ada unazani Utaleta Debe la mahindi
 
Back
Top Bottom