Form za mikopo - heslb

NgomaNzito

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
559
26
Please Inv, will u mind to assist Tanzanian student to download Student's Loan Forms from HESLB easly as it is difficult to download from their website as it look like more traffic than servers capabilty.

Thanks in advance for most of young Tanzania students

NN
 
Ujanja kujaribu usiku au mapema asubuhi. Copy ya hizo form ikiwekwa JF itakuwa msaada kwa wengi.
 
Ujanja kujaribu usiku au mapema asubuhi. Copy ya hizo form ikiwekwa JF itakuwa msaada kwa wengi.

Vijana nimewaona wanahangaika walizosambaza board zinafichwa na kuuzwa huu ni wizi na kuwarudisha nyuma vijana wetu wanahangaika mno hata hiyo mida ya asubuhi ni kero tupu wengi watashukuru msaada toko JF

Hapa nimeweka form Moja niliyoweza kudownlod
 
Kama vipi kwa mara ya kwanza na join kwa blog hii ya ukweeeeeeeeeeeeli ,ila inshu ambayo mi naimind ni kitendo cha bodi ya mikopo kusema kuwa tunaweza kudownlod then ukizama kwenye mtandao kudownlod inakuwa inshu kama vip bora waweke wazi kama haiwezekani kufanya hivyo through mtandao.DJ JIWE4EVER HAPAAAAAAAAAAA TOKA PANDE ZA RADIO MLIMANI.
 
ngoma nzito vipi na wewe unakuwa mizinguo mbona fomu za bodi ya mikopo hazitaki kufunguka why mh?
 
Hizo fomu kwa kweli zina matatizo. Last week nilimdownloadia mdogo wangu lakini kwenye kuprint ni vituko vitupu. Kuna maandishi hayatokei kwenye karatasi japo kwenye fomu yanaonekana na kuna maandishi yanaotokea kwenye karatasi japo kwenye fomu hayaonekani.

Yaani hii serikali yetu haiishi kunishangaza jinsi vile wanahandle mambo serious kama haya.
 
Hizo fomu kwa kweli zina matatizo. Last week nilimdownloadia mdogo wangu lakini kwenye ku-print ni vituko vitupu. Kuna maandishi hayatokei kwenye karatasi japo kwenye fomu yanaonekana na kuna maandishi yanatokea kwenye karatasi japo kwenye fomu hayaonekani.

Yaani hii serikali yetu haiishi kunishangaza jinsi vile wanahandle mambo serious kama haya.


Kama ni pdf tatizo linaweza kuwa kwako mkuu. Sometimes virusi vinakula mafaili unashindwa kupata document njema. Jaribu kucheki vizuri. Wadau wa Jf watakupa ushauri zaidi.
 
Kama ni pdf tatizo linaweza kuwa kwako mkuu. Sometimes virusi vinakula mafaili unashindwa kupata document njema. Jaribu kucheki vizuri. Wadau wa Jf watakupa ushauri zaidi.

Virusi hapa hakuna na nacheza na PDF's kila siku. Naona walichokuwa wanajaribu kufanya bodi ni kutengeneza intercative PDF's kama zile za IRS ya USA ila wakachemsha.

Anyway lakini dogo alishapata kwa hiyo sitapoteza muda nao tena.
 
HESLB, Mkulima amekosa pesa ya kunulia jembe ,ameuza shamba ampeleka mtoto shule, sasa hajui atalima wapi siku akipata jembe.Je pesa ya kulipian fomu za mikopo atoe wapi?. Maoni muwezeshe huyo mtoto wamkulima ili aje aikomboe jamii hiyo ilyo katika mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom