Form VI 08 Exam Results

Mbona page ya result haina link yeyote mwenye kufahamu namna ya kuingia kwenye matokeo anifahamishe Please
 
kupata centre number ni rahisi, google jina la shule examination centre - pale utapata jina la shule na namba inayoanza na S au P for regular students and private candidates basi unapata kila kitu!
 
That's correct Mtanzania st. Francis mbeya ni o'level tu...but hata kwa centre # huwezi kupata au ndio mpaka uwe na #ya mwanafunzi???
 
That's correct Mtanzania st. Francis mbeya ni o'level tu...but hata kwa centre # huwezi kupata au ndio mpaka uwe na #ya mwanafunzi???
 
nimeingiza namba ya kituo sijapata kitu

sijui kulikoni mara hii wameleta mfumo wa kifisadi
 
nimeingiza namba ya kituo sijapata kitu

sijui kulikoni mara hii wameleta mfumo wa kifisadi

Mtu wa Pwani,

Kwa uzoefu wangu wa Mysql Database.
Kuna query nyingi zinatumwa kila sehemu ya Tanzania kupata Matokeo,so inakuwa busyna haiwezi kuwahudumia wote.. ila keep on trying utayapata,mambo ya first come first saved..natafuta e-mail ya watu wa baraza niwashuli nini cha kufanya ili matokeo yawe fast kupatikana..

na kama wansoma hapa,wangeweka Id kwa kila table.
 
asante sana kaka maana kihere here cha kutaka niyaone mwanzo kimenizidi
 
MKUU NADHANI INGEKUWA SAWA KUIWEKA HII KWENYE JUKWAA LA ELIMU, UNAONAJE?

Isyo Lazima,,hili ni suala la Kitaifa,Invisible tena weka Sticky,

Ivisible Kama unaweza naomba uwaombe hao jamaa matokeo na wakupe datanbase yao... na mie nitatengeza search engine ya fasta ili watu waweze kuyapata hapa..
 
SOMA MA VIZURI NILICHOANDIKA, SIKULAZIMISHA.... UMEKURUPUKA
 
anachekesha iwekwe wapi?

hivi tunashindwa kujua kipi kipaumbele ?

hii ndio inayojenga mihimili ya taifa letu ikae hapa kwa masiku halafu kama kawaida huenda kunakohusika
 
MKUU NADHANI INGEKUWA SAWA KUIWEKA HII KWENYE JUKWAA LA ELIMU, UNAONAJE?
Ahsante kwa ushauri ndugu yangu,,,

Si kama nimesahau ila nilionelea jana usiku (kwa masaa ya Tz) niirejeshe Siasa kwani zilikuwa zinafunguliwa topic hizo hizo kila sekunde nikaona njia bora ni kuiweka hapa kwa muda. Aidha, watanzania walio wengi wana hamu sana ya kujua juu ya hili na kama ujuavyo wengi wanadhani JF ni Siasa Forum tu!

Itarudi huko soon....
 
aSANTE MKUU NIMEELEWA LENGO LAKO SASA, NASHUKURU
 
Mwaka huu seminary wameburuzwa kidogo si kama miaka ya nyuma ilikuwa no 1 hadi no 10 zote seminary...wapi special schools?
 
Atleast wamebolesha ukiwa na centre number na namba ya mwanafunzi wapata on the spot ingawa in the morning iyo site ilikuwa busy so you are kept on the queue mpaka ujaribu jaribu zaidi ya mara mbili au tatu.
Nimecheki ya vijana wangu kama wa 3 ivi nimefarijika.
Apa wenye magazeti lazima watakuwa wameumia na wenye Cafe mambo yao super.
Uzuru ni kwamba waweza print statement
 
Aidha, watanzania walio wengi wana hamu sana ya kujua juu ya hili na kama ujuavyo wengi wanadhani JF ni Siasa Forum tu!

Na kwa kuruhusu hivyo, ndio maana forum nyingine kama Elimu na Uchumi zime dorora!

Tabia zisizofaa hubadilishwa sio kufuatwa.

NN
 
Mtu wa Pwani,

Kwa uzoefu wangu wa Mysql Database.
Kuna query nyingi zinatumwa kila sehemu ya Tanzania kupata Matokeo,so inakuwa busyna haiwezi kuwahudumia wote.. ila keep on trying utayapata,mambo ya first come first saved..natafuta e-mail ya watu wa baraza niwashuli nini cha kufanya ili matokeo yawe fast kupatikana..

na kama wansoma hapa,wangeweka Id kwa kila table.

Gembe, nimewasiliana nao natarajia wanaweza kujibu. Nitaweka hapa majibu yao, na wakiwa kimya basi ndio hivyo tena!
 
Mwaka huu seminary wameburuzwa kidogo si kama miaka ya nyuma ilikuwa no 1 hadi no 10 zote seminary...wapi special schools?
Nilisikia kuwa hizi special zimefutwa na zitakuwa kama shule za kawaida je hiyo ni kweli waungwana?
Pia unajua zile shule za Special zilikuwa zinatoa nafasi hata kwa watoto wa watu wa kipato cha chini kuweza kufauru vizuri.Na kama bado zipo basi watakuwa wamezifanyia Ufisadi tu kwani hakukuwa na shule iliyokuwa na uwezo wa kuja kuipindua Mzumbe kwa miaka ya karibuni kwa Moto ule..ingawa ilikuwa inaharibu soko la baadhi ya shule kwani wazazi wengi waliikubali kupita hizi shule binafsi.
Pia Kama kuna mwana jamboforums yeyote mwenye namba ya simu ya headmaster wa mzumbe(Mzee Mwasha)au kama kahamishwa basi huyo mpya au hata receptionist naomba wakuu.
 
Hawa Jamaa naona hawapo user friend. Kwanini hawaweki ID simple zikajulikana..matokeo yake system yao inakuwa busy bila mpango wowote.

Hizi field zao walizozitaka ni candidate number/name..na mifano yao inachanganya kweli..aliefanikiwa naomba anifahamishe kiasi...maana ukishachoka ishakuwa paper..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom