'Form Six' kama 'Form Four'

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Matokeo ya kidato cha sita waliohitimu mapema mwaka huu yako tayari kutangazwa. Yanaonesha ufaulu kushuka kama ilivyotokea kwa kidato cha nne mwaka huu. Ufaulu wa wavulana umeuzidi wa wasichana ingawa wasichana wengi wamechomoza nafasi za juu. Sayansi imeifunika sanaa. Matokeo yatatangazwa mwanzoni mwa mwezi wa tano. Wahusika kaeni mkao wa kulia au kucheka!
 
Wewe unafaa kukamatwa na kuhojiwa umapata wapi taarifa za seri-kauli na kuzi publish bila ya idhini ya seri-kauli??
 
Sidhani kama serikali ya akina "Liwalo na Liwe" wataruhusu matokeo ya aina hiyo kutangazwa. Maana yale ya kwanza tu yalitaka kuwatokea puani, hawatafanya kosa hilo tena. Nafikiri sasa watayapika hadi yakome. Zitafanyika standardization za kufa mtu angalau tu kuwaokoa akina Kawambwa na Mlugo.
 
Matokeo ya kidato cha sita waliohitimu mapema mwaka huu yako tayari kutangazwa. Yanaonesha ufaulu kushuka kama ilivyotokea kwa kidato cha nne mwaka huu. Ufaulu wa wavulana umeuzidi wa wasichana ingawa wasichana wengi wamechomoza nafasi za juu. Sayansi imeifunika sanaa. Matokeo yatatangazwa mwanzoni mwa mwezi wa tano. Wahusika kaeni mkao wa kulia au kucheka!
Who are you by the way?
 
hayo maneno 2 amna lolote fm 6's n adult people wenye resolutions sio kama 4m 4 sahau ku2fananisha na hao
 
Pinda atakuwa kawaambia jaribuni kubalance maana haya ya form 4 tuu zengwe
 
Back
Top Bottom