Form iv wapewe mtihani mwingine

sokolaboro

JF-Expert Member
Dec 1, 2011
313
54
Waliofutiwa mtihani wengine walifanya vizuri kwa akili zao. Hivyo kujua aliyekuwa amepata mtihani kabla ni kuwapa mtihani mwingine ambao wataufanya ili wasipotezewe wakati wasiohusika na watakaofeli ndio waliokuwa na mtihani.
 
Back
Top Bottom