Form 5 hatusomi walimu hawafundishi

Hukujua kwamba walimu hakuna?Ndio maana katika Selection Form mkapewa option ya technical colleges ila kwa kuwa mnapenda sifa za kusoma a level mnajifanya wabishi hamtaki kwenda vyuoni!Sasa piga hiyo miaka yako miwili,then mambo yasipokuwa mazuri ndio utajua umuhimu wa hivi vyuo vya ufundi!
 
Back
Top Bottom