Form 3

Mentor huyo bado mdogo sana na kishakuzoea kama anko ,unaweza kusubiri na mwana akawa si wako,mwache asome na wewe uendelee na ustaarab wako
Good luck

Alafu niwe celibate ama iweje!?? Kuzoeana si ndo chanzo cha kupendana lakini!??
wazo langu lilikuwa kumvumilia, na kuendelea kuwa karibu naye tu bila kumwambia lolote...ikitokea nikapata mwingine in between ntamuacha huyo kama uncle..otherwise itakuwa ndo yeye tu! yani i have this feeling she could be the one aisee...
 
Form 3 kwa huku kwetu uswahilini ni mzazi pasipo mtoto!!!Kuna vitoto f2 vishatoa mimba kama 2 na zaidi!!!Mambo ya kusubiriana yalikuwa zamani,nina hakika hata wewe huwezi subiri miaka 3 bila kuchakachua spea!!!Achana nae tafuta sample yako kama huwezi subiri amaliize f4 kisha muoe!ajiendeleze akiwa ndani!!Huwezi kufanya haya bila kuelezana nae ukweli

So far nimeweza kaka..inakuaje nishindwe zaidi!??
Alafu mtoto kama huyo (na si wa uswahilini..) hana too much details on such issues (kwa sababu nimeongea naye na namfahamu kiasi)..so itakuwa kumu-overload nikimwambia!!! au unaonaje wewe!??
 
Je unajua atasoma mpaka level gani? Maana anaweza kupiga kitabu mpaka akawa dr wa ukweli,hiyo ni miaka mingapi? akimaliza kupiga kitabu atakuona wewe babu,kisha akwambie, ujana ulikula na nani na uzee unataka ule na nani? Ukiweza, ipe roho kitu inataka !!!!,
 
Je unajua atasoma mpaka level gani? Maana anaweza kupiga kitabu mpaka akawa dr wa ukweli,hiyo ni miaka mingapi? akimaliza kupiga kitabu atakuona wewe babu,kisha akwambie, ujana ulikula na nani na uzee unataka ule na nani? Ukiweza, ipe roho kitu inataka !!!!,
i aint planning to wait for that long kaka...mostly amalize form 6 then nimuambie..au!??
 
Generally huwa sishauri mtu amsubiri msichana kwa muda wote huo. Lakini hata hivyo mkuu Mentor kwa sababu kitoto ushakipenda na unaonekana kuwa tayari kusubiri, mimi naona wewe subiri lakini uwe tayari kwa matokeo hasi pia, after all life is about taking risks.

Take the risk bro, you might be the one laughing at the end. Good luck
 
Kazi njema na ninatanguliza shukrani..!

Mentor ulivyoomba ushauri hadi tunaona aibu kupita bila ku-comment.. In my view..that's thunderbird" ambayo mara nyingi uishia kuwa ndoto ya kweli.. umri si tatizo..ila approach ndiyo tatizo..

Najua kijana wa sasa wa Form 3 ameshajifunza mambo mengi..lakini usifanye assumption hiyo... mrudishe kwenye msitari na tumia hiyo kufunga milango yake kwa wengine bila yeye kujua... Kama kweli unampenda..endelea kuwa karibu ila .usiongee kabisa..ila kuwa karibu..mtie moyo na ku-discourage kabisa mambo haya..ya mapenzi..fuatilia maendeleo yake..yaani jifungue kwake kwa upande wa pili..yaani fanya kila njia hadi akutegemee wewe kwa maamuzi yake kama kaka na si mpenzi.. hakikisha anapata elimu..kwani itawasaidia baadaye...angalia maisha ya miaka 6 ijayo na sio mwezi ujao.....taratibu utafika wakati ..atakulinganisha na vi-boy vingine..na ni wakati huo ataona thamani yako..na muda utakuwa umepita..

Kumbuka..Kwa wakati huu..kuwa nae "banet kwa banet"..kama maafande wa JKT walivyokuwa wanasema..ila pia kumbuka itachukuwa muda, inahitaji uvumilivu na kuna risk utafanya yote, utavumilia lakini kwa bahati mabya ukaishia usimpate kwa maisha yako. Just a minimal risk that you should consider..
 
Mh.. yataka moyo kaka. Nimependa sana ushauri wa Tulizo hapo juu na sitaki kuurudia ila uwe tayari kwa matokeo kwani kumuambia sasa noma.... bado kiumri hawezi kukuelewa au unaweza pia kumchanganya kimasomo. Kuendelea kuuchuna unaweza kubaki Anko forever na wengine wakachukua maana pia vibinti vya sikuhizi havieleweki kabsaaaaaaa.
 
Mentor gor for her bana...mleee amalize form 6 kisha mueleze nia yako, ila pia jaribu kuchombeza kujua angependa mume wa namna gani na ambitions zake ni zipi, manake atapenda afike labda chuo kikuu hadi PhD, so ujue timeline ya kusubiri au la ujue kama ako tayari kuanza family huku anasoma,, vigezo na masharti vikizingatiwa
 
hebu muache mtoto wa watu by the time unamua si utakua kibabu tayari(kama atafika mpaka chuo)
but serious, kama una malengo mazuri nae ni bora ukamwandaa/kumjenga kuwa wife, nahofia ukikaa kimya chaweza hakachuliwa huko shule/chuo maana hajui lengo lako, wajanja wakakuwahi, ila ucheze kwa step maana binadamu hubadilika na yeye she has a long way to go...
 
hebu muache mtoto wa watu by the time unamua si utakua kibabu tayari(kama atafika mpaka chuo)<br>but serious, kama una malengo mazuri nae ni bora ukamwandaa/kumjenga kuwa wife, nahofia ukikaa kimya chaweza hakachuliwa huko shule/chuo maana hajui lengo lako, wajanja wakakuwahi, ila ucheze kwa step maana binadamu hubadilika na yeye she has a long way to go...
 
Dah mkuu untaka kuoa mpwa?Hako katoto ukikaambia sahizi utakachanganya tu kwanza ndio kapo ule umri mbaya hakawezi kufanya maamuzi sahihi,anahitaji Muda wa ku concentrate na masomo.Subiri tu kama unaweza kusubiri labda kakifika A-LEVEL ndio upige intro.Ila mwombe Mungu sana kuna watu wamelea na dakika za mwisho wakabwagwa wakaishia kuchanganyikiwa tu.Life is not fair siku zote
 
Mapema kabisa ndugu yangu!?? Wewe ukiwa form 3 ulikuwa waweza kupambanua haya mambo kweli!?? Mimi naona kama naweza kumsubiri...au!??



yaani kila kunavyokucha maajabu ya dunia hayaishi, hili nalo ni ajabu sijui la nane , tisa.... au kumi na tisa. Yaan wewe unatuuliza kama unaweza kumsubiri au la? sie hatujaubeba moyo wako after all kama uko 25, you are still young, endelea kuvuta subira, ila sina uhakika kama utakawait hako kabinti, na kama utakangoja basi lazima utakuwa unabandua kwingineko
 
Duh, wakuu mmeamua kunikumbushia malovedavi haya jamani..
Well, bado niko naye ila siku hizi nimehama Moshi simuonagi tena..sijui hali itakuwaje?
Huku Dar nako kila siku majaribu...
Wale waliokuwa wananizimia nao, sijui ni kwa sababu nimeanza kazi, wameanza kunitongoza..
Sijui kama nitaweza kumsubiri..
ila hadi kwenye ndoto zangu huyu mtoto yupo,
yani sometimes ninaweza kuwa ninaongea na demu, very attractive, bright future..
ila nikimkumbuka tu mpwa wangu wa Form 3, hamu yote ya kutaka kumjua zaidi binti huyu inaisha..
 
yaani kila kunavyokucha maajabu ya dunia hayaishi, hili nalo ni ajabu sijui la nane , tisa.... au kumi na tisa. Yaan wewe unatuuliza kama unaweza kumsubiri au la? sie hatujaubeba moyo wako after all kama uko 25, you are still young, endelea kuvuta subira, ila sina uhakika kama utakawait hako kabinti, na kama utakangoja basi lazima utakuwa unabandua kwingineko

Hahah...sibandui kwingine bana...nimeweka purity pledge!!!
 
Najua mtanicriticize ila ndo hivyo imetokea....Habari zenu kwanza...poleni na hali ngumu ya maisha ndugu zanguni!To the point:Ni binti wa kidato cha tatu...kwa tabia na sifa na maumbile anaonekana atakuwa kitu kikali sana...!Kwa umri kweli ukilinganisha na mimi (working, nakaribia two yrs cnc graduation..) ni mdogo..ila nahisi kama huyu binti atanifaa kuwa mke wangu kwa kweli. niko radhi kusubiri (na sijamwambia lolote!) but tu marafiki sana..kwa sababu ya my young sista. so ye huniita Mjomba since my sis is (was...she jus cleared form6) her school mum!Wakuu ebu niambieni...kuna possibility apo ama niendelee tu na maisha!??sina mpango mbaya na yeye..na nadhani hata reputation yangu hapa JF inanisupport!Could I chill for her labda mpaka amalize form 6 walau nimwambie au nitafute tu mwingine!??Kazi njema na ninatanguliza shukrani..!
unaweza kumsubiria lakin itakuwa pata potea,bila kumweleza anaweza kukuchukulia kama uncle tu,na badae ukimueleza,unaweza kukuta tayar amekuwa occupied,no empty space,mana mabint wa cku hzi,mmmh!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom