Form 3

Tatizo ni kwamba anaweza kubadilika baada ya miaka michache!Zaidi ya hapo hamna ubaya wowote ili mradi usimchezee mtoto wa watu!Msubirie kama bado nafsi yako itakua imeridhika nae hapo baadae na mwenyewe akikubali fanya kweli!

Hapo ndo mimi panaponitatiza..naona kama ntakuw nimepoteza muda wangu bure...daah!
 
Ina wezekana sana tumewaona wengi tu na wamewasubiri wapenzi wao na wanaishi kwa upendo mpaka leo. matatizo yakikupata ni mipango tu ya maisha uliyopangiwa kuyapitia. umri si kigezo kaka angu ila jiandae kwenda kumsubiri bilcanas huku wewe kipindi hicho unasinzia na kukoroma pembeni ya speaker

Mbona siyo age gap kubwa kiivo mkubwa?
Alafu hawa wa umri wetu si wanachukuliwa na baba zetu..sasa huoni ts just fair kutafuta mdogo kiivo!??
 
Muweke karibu na wewe, bila kumuambia lililo moyoni mwako. Msisitize aone kwa sasa mapenzi its nothing na ukimsihi sana awe karibu na Mungu kwa mujibu wa Imani yenu(yake). Kwa sababu unajua ur plan, hakikisha hapotei njia then siku ya siku utakuwa naye. Ukionesha nia yako sasa kuna 90% ya kumpoteza. Hii itakujengea imani kwake na akimaliza hiyo form six ukamueleza nia yako atakuamini kuwa you are a guardian angel.
 
Hapo ndo mimi panaponitatiza..naona kama ntakuw nimepoteza muda wangu bure...daah!
Huo sasa ndo mtihani wako!Uko tayari kusubiria bila kujua matokeo yake?Uko tayari kupotezea baada ya miaka 10 umeshaoa mwingine alafu unaishia kujutia kwanini hukusubiri?
Fikiria!
 
Mwambie ajue waweza fika wakati wa kuambiwa akakwambia mi nalikuwa nakuheshimu kama kaka yangu, au ukakuta umechelewa wenzako walishamwambia siku nyiiiiiingi, ukishamwambia usimharibu sasa muelekeze katika njia iliyo nzuri aje kuwa mke bora
 
Aiseeee! braza huyo bado hajakomaa, anaweza kukukubali leo laini kesho akijachezacheza kidogo akishia mahali ingine kabisa. Tafta mtu ingine bana, utapatatu.usijelelea mtu buree.
 
Mbona siyo age gap kubwa kiivo mkubwa?
Alafu hawa wa umri wetu si wanachukuliwa na baba zetu..sasa huoni ts just fair kutafuta mdogo kiivo!??

Wewe acha mawazo mgando, mbona hata hao unaowaona wewe ni watoto wanachukuliwa na hao baba zenu:A S 13:.... discipline haiangalii umri! Au unaogopa kuimbisha wa umri wako, sasa unakimbilia watoto????:rain::rain:
 
Form 3 kwa huku kwetu uswahilini ni mzazi pasipo mtoto!!!Kuna vitoto f2 vishatoa mimba kama 2 na zaidi!!!Mambo ya kusubiriana yalikuwa zamani,nina hakika hata wewe huwezi subiri miaka 3 bila kuchakachua spea!!!Achana nae tafuta sample yako kama huwezi subiri amaliize f4 kisha muoe!ajiendeleze akiwa ndani!!Huwezi kufanya haya bila kuelezana nae ukweli
 
Wakuu mkisikia uzinzi ulotukuka na tamaa mbaya ndio huu, yaani ushaanza kutamani kimwanafunzi, kwanza uache uonge kama kako f3 wewe unaweza kweli kukasubiri miaka zaidi ya 4 kweli :A S 13: mkuu unaelekea kubaya usikaharibie maisha katoto ka wenzio tafuta wa umri wako.....

Loh!!!!!!!!! Mwanaume mbaya wewe, mbona wewe hako ka-kwako kanaonekana kadogo kwako kuliko hata huyu wa form 3. Back 2 the topic, mpwa kwanza mwombe Mungu akupe kibali kama ni mke mwema maana mke mwema utoka kwa Mungu. Pili unaweza kuendelea kusubiri maan miaka mtatu sio mingi, mbona kuna watu wazima tu wanaweza kukaa kwenye uchumba hata miaka kumi.

Angalizo: Endelea tu kukaangalia kwa macho, kukaweka karibu na kama mwenzetu aliyetangulia kukushauri hapo juu uwe unakachunguza kanapenda kuja kuwa na mume/familia ya aina gani? lakini vitendo hapana. Mwenyezi Mungu akutangulie.
 
Unataka uingie kwenye kitabu cha Guiness cha watu waliozira kuoa/olewa kabisa baada ya kusalitiwa na wapenzi wao waliowasubiri kwa muda mrefu!?
 
Mwishoe utaingia kusomesha na baadaye kukimbiwa , Mjini wajanja wengu mkuu
 
Mentor huyo bado mdogo sana na kishakuzoea kama anko ,unaweza kusubiri na mwana akawa si wako,mwache asome na wewe uendelee na ustaarab wako
Good luck
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom