forex trade

Asante sana Change-it, huwa nafikiria sana hii business ila sijawahi pata details zaidi, si ndo hii ya ma-bureau de change au?
 
Asante sana Change-it, huwa nafikiria sana hii business ila sijawahi pata details zaidi, si ndo hii ya ma-bureau de change au?
no, hii forex trade we jaribu kuangalia kwenye hiyo link utaelewa tu haya mambo.
 
If u want to be succesfull trade futures ambapo ni oil,wheat,sugar ndo inatoa wengi kuliko currency trading,ingia forex.com download meta 4 anza kufanya practise kutumia hiyo system for demo account b4 hujaanza real
 
Back
Top Bottom