Forex business using TORO

Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,050
605
Kuna mtu ameshafanya forex business kutumua Toro atupe uzoefu wake?
Mi nimejaribu trial mode yake naona kuna uwezekano wa kupata vidola vichache ukiwa makini. Swali ni kwamba ukishaweka hela yako mambo hayabadiliki?
 
i have never used toro to trade the market. but i have meta trade 4 only on the demo version. hey i have to admit sjawahi kukutana na mtu ambaye anatrade forex hapa bongo, so im happy to meet you. we can share experience. so u can contact me through 0718654739, im sure we have a lot to talk about. by the way my name is nelson and u can also reach me through salim.nelson@gmail.com
 
nishawai kujaribu hawa jamaa wa etoro wako real,unatikiwa uwe na uelewa kuhusu forex trade, namna ya kufanya trading, ujue trading ours na mengineyo, ni ngumu na usipokuwa makini utaliwa hela zote,jifunze hawa kwa kutumia demo account kwanza kabla ya kwenda kwenye real account,inalipa sana ukielewa namna ya kufanya trading na usiwe na internet ya kusuasua( isiwe inakatakata) at least uwe na two monitor + cpu kama unataka kufanya forex trading serious.it's too risk ukiangia kichwa kichwa inacukua muda sana kujifunza ili kuelewa baadhi ya vitu ili uwe GURU(top forex trader).
 
Hello friends,
I believe you are all well,I have just got meta trade 4 trying out the demo acc.
 
Am using meta 4 trader and u shuld know exactly how to make n keep pips,n minimize loss..kwa ushauri wangu currency inawatoa wengi out of business kuna jamaa wa uganda alianza na dola 1000 akafikisha dola laki 3 in a couple of years now he is bankrupt,trade futures eg sugar,wheat,oil,gold,silver etc
 
nishawai kujaribu hawa jamaa wa etoro wako real,unatikiwa uwe na uelewa kuhusu forex trade, namna ya kufanya trading, ujue trading ours na mengineyo, ni ngumu na usipokuwa makini utaliwa hela zote,jifunze hawa kwa kutumia demo account kwanza kabla ya kwenda kwenye real account,inalipa sana ukielewa namna ya kufanya trading na usiwe na internet ya kusuasua( isiwe inakatakata) at least uwe na two monitor + cpu kama unataka kufanya forex trading serious.it's too risk ukiangia kichwa kichwa inacukua muda sana kujifunza ili kuelewa baadhi ya vitu ili uwe GURU(top forex trader).

nilazima uwe na monitor mbili kwani kijana wangu moja si inatosha
 
nishawai kujaribu hawa jamaa wa etoro wako real,unatikiwa uwe na uelewa kuhusu forex trade, namna ya kufanya trading, ujue trading ours na mengineyo, ni ngumu na usipokuwa makini utaliwa hela zote,jifunze hawa kwa kutumia demo account kwanza kabla ya kwenda kwenye real account,inalipa sana ukielewa namna ya kufanya trading na usiwe na internet ya kusuasua( isiwe inakatakata) at least uwe na two monitor + cpu kama unataka kufanya forex trading serious.it's too risk ukiangia kichwa kichwa inacukua muda sana kujifunza ili kuelewa baadhi ya vitu ili uwe GURU(top forex trader).

unaweza nipa mafanikio yako mpaka sasa tokea umeanza hiyoo kitu
 
i have never used toro to trade the market. but i have meta trade 4 only on the demo version. hey i have to admit sjawahi kukutana na mtu ambaye anatrade forex hapa bongo, so im happy to meet you. we can share experience. so u can contact me through 0718654739, im sure we have a lot to talk about. by the way my name is nelson and u can also reach me through salim.nelson@gmail.com
Hivi mnatumia benki gani kuweka na kutoa pesa
 
Back
Top Bottom