Forever Young, Smart, Charismatic & Handsome!!

hii nimeipenda sana inaelekea watanzania tumechoshwa na huko nchi yetu inapoelekea...! mabadiliko ya lazima ni lazima yafanywe ili kuirudisha nchi kwenye mikono ya watanzania maana imesha toweka kabisaaaaa
 
Nimependa sandals alizovaa

nyerere_with_people2.jpg




Amevaa slippers zilizotengenezwa na wamaasai, huyu alikuwa ana sema anachokiamini-wa sasa hivi ni wasanii tu!
 
Back
Top Bottom