Forever Loving Jah!

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,678
4,350
..just like a tree planted, planted by the river of the water that bringeth forth fruit, bringeth forth fruit in due season,
everything in life got its purpose, forever yeeeah!!

Kweli Mungu huchukua kile kilicho kizuri mapema! RIP Bob Marley lkn nnaishi na wewe spiritually kupitia nyimbo zako!
Nani km Bob Marley!
 
Huu ni urithi mkubwa sana its more than gold!
kila nikiamka asubuhi au nikipita mahali asubuhi kuna ukungu basi ntaimba misty morning, jua likitoka ntaimba Sun is shinning, nikipata wasi wasi ntaimba three little birds(dont worry about a thing, coz every little thing is gonna be alright) nyombo zake nazzita spiritual songs! So jah seh!
 
Mkuu BAK hakuna kitu kisicho na historia, huo wimbo wa Is this love kwa kweli unanikumbusha nikiwa form 3 kuna mtoto wa form one alinizimikia kwa sana akanipa picha zake dah mtoto alikuwa bomba mno. Ilikuwa ni shule ya Day iringa hapo mazee, kwa kweli nilikuwa excited mno kiasi kwamba nilikuwa naziacha zile picha sebuleni ili maza aniulize nani huyu halafu nimwambie bahati mbaya haikutokea hivyo. basi najifungia room na zile picha huku nasikiliza hicho kibao cha Bob naweza kaa 2 hrs nasikiliza huo wimbo kwa kurudia rudia na kuzicheki tu zile picha. saas hivi huyo demi ni ticha pande za Kilombero hukooo
 
  • Thanks
Reactions: BAK

...hahahahaha lol! Nyimbo hukumbusha mengi sana Mkuu :):) mie kuna nyimbo nikisikia zinanikumbusha sehemu sehemu ambazo hunifanya nikabaki na tabasamu....Nafurahi kwamba kuusikia wimbo huo umeweza kumkumbuka mrembo wako aliyekuwa ni moto wa kuotea mbali :):) usianze kumtafuta tu yuko wapi hahahahah lol!
 
...hahahahaha lol! Nyimbo hukumbusha mengi sana Mkuu :):) mie kuna nyimbo nikisikia zinanikumbusha sehemu sehemu ambazo hunifanya nikabaki na tabasamu....Nafurahi kwamba kuusikia wimbo wako huo umeweza kumkumbuka mrembo wako aliyekuwa ni moto wa kuotea mbali :):) usianze kumtafuta tu yuko wapi hahahahah lol!

Aah wapi mkuu siwezi mtafuta tena coz yeye kaolewa na mie nishaoa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kitu ya pimpers paradise ni kwere, huyu jamaa heshima, kitu ya who the cap fit nayo ina maneno matamu sana
 
kitu ya pimpers paradise ni kwere, huyu jamaa heshima, kitu ya who the cap fit nayo ina maneno matamu sana

.....Miaka chungu nzima imekatika lakini nyimbo zake bado zinatesa mpaka kesho. RIP BM.
 
If u ar a big tree
Then we ar small axe
Sharpened to get u down
Ready to get u gown...
Hahaha hii inanipaga nguvu najiskia kama naweza hamisha mlima!

Kuna waiting in vain
I don't wanna wait in vain for ur lov
Winter is here ...
Summer is here....
 
Mhhhhh! :):) nadhani huwa unajisikia hivi ukishapuliza yale majani makavu lol! :):)

Last edited by a moderator:
If u ar a big tree
Then we ar small axe
Sharpened to get u down
Ready to get u gown...
Hahaha hii inanipaga nguvu najiskia kama naweza hamisha mlima!.

I love these words.... ni moja ya verses zilizonifanya nione reggae ina mshiko... take it in mind I was kama 14 hivi... Splendid.
 
"You can fool some people sometime... BUT You can't fool all the people all the time..."
 
Back
Top Bottom