Narubongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 2,768
- 2,750
hili swala la passport linasikitisha sana mimi nimeshakutana na watu nje wanapassport za tz na wala hawajui tz ipo wapi na wala hawajawahi kukanyaga tz, wasomali, wayemen,nigeria wengi sana wanazo tena michongo inaanzia ubalozi wa tz.
matumizi: nina marafiki wa yemen wanasema kama umetoa palestina,pakistan,iran,afghan na yemen yenyewe ukiomba kazi quatar,U.A.E, saudia ni vigumu sana kupata work permit coz wanahofia ugaidi lkn ukiwa na passport ya tz au kenya ni nchi zenye amani so ni rahisi sana kupata work permit hivyo basi ndio maana jamaa wa yeme wengi wanatafuta passport za nchi hizi na kuna jamaa zao walihangaika sana kupata work permit dubai bila mafanikio lkn walipopata passport za tz within a week walipata kibali na mpk sasa wanadunda.
pia kunawatu hapo dar wanaendesha maisha kwa biashara ya passport saa 3 asbh unampa laki 3 jioni unachukua passport anchohitaji yeye ni date of birth na majina yako matatu basi, kimbembe nenda wewe mzawa pale uhamiaji