Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
rafiki yangu anataka kununua ford escape xlt,2002. Wakuu nisaidieni data zake hasa utumiaji wa mafuta, spares n.k
nawakilisha
nawakilisha
kwa haraka haraka tu ni kuwa spare ni ishu sababu kuna wakati nilikuwa natafuta spare za Ford escape kama hiyo kwa dealear wa Dar sikupata,hali kadhalika Nairobi pia sikupata,ilibidi niagize toka US,naaimini ajiandae kwa hilo pia.
Pia kwa mtazamo wangu gari za US ni nzuri na ni cheap kwa bei kulinganisha na Japanese ila tatizo ni uimara wake kwa mazingira ya kwetu.