Forbes wadai Mkuu wa Kaya ame-boost uchumi

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
No,wonder this is called black continent.

Pitia hapa ujionee wasemavyo waandaji hawa juu ya Mkuu wa Kaya.

Forbes Africa Person of the Year 2016 nominees: 2 presidents, 2 South Africans, 1 country | Africanews

Sijataka kutaja jina la mtu kutona na utata uliopo kuhusu swala hili kiasi kwamba sasa nashindwa hata kuamini hizi link zinazotelewa kila wakati kama ni za kweli ingawa ukizifungua zinaonekana ni za kweli ila kinachosemwa kumuhusu mh.ndio kinanishangaza na kunifanya nihoji kama watu hawa kweli wamefanya utafiti juu ya wanachokisema.
 
Hahahaha.... Usijali mkuu mwaka kesho roho yako itatulia tu pale watakapo washindanisha Lowassa na watu wafuatao..

1. Julius Malema
2. Kisa Besige
3. Tisivangirai
4. Odinga...
5., n.k

Usijali roho yako itaridhika tu! Kwa sasa hivi vumilia kidogo huu upepo unavuma kwa Magufuli.
 
1477572556735.jpg
 
Uchumi upi sasa , huu wa mlo mmoja kwa wiki ?
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hah...................ha ha haha ha.... mkuu unanivunja mbavu aisee. hata kama ni siasa sio hivo. Mlo mmoja kwa wiki??????.... ha ha ha ha ha ha ha ha....

ndo maana huwa nawadharau wapinzani wa Tanzania.. ni kwa sababu ya mambo ya kizushi kama haya ambayo hayana uhalisia hata kidogo.
 
No,wonder this is called black continent.

Pitia hapa ujionee wasemavyo waandaji hawa juu ya Mkuu wa Kaya.

Forbes Africa Person of the Year 2016 nominees: 2 presidents, 2 South Africans, 1 country | Africanews

Sijataka kutaja jina la mtu kutona na utata uliopo kuhusu swala hili kiasi kwamba sasa nashindwa hata kuamini hizi link zinazotelewa kila wakati kama ni za kweli ingawa ukizifungua zinaonekana ni za kweli ila kinachosemwa kumuhusu mh.ndio kinanishangaza na kunifanya nihoji kama watu hawa kweli wamefanya utafiti juu ya wanachokisema.
Utafiti unauweza wewe ambao unauelekeza kwenye kumpinga Rais Wetu Mpendwa Dkt.MAGUFULI. Haunipi shida baada ya kugundua bwana huyo unaemtumikia.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hah...................ha ha haha ha.... mkuu unanivunja mbavu aisee. hata kama ni siasa sio hivo. Mlo mmoja kwa wiki??????.... ha ha ha ha ha ha ha ha....

ndo maana huwa nawadharau wapinzani wa Tanzania.. ni kwa sababu ya mambo ya kizushi kama haya ambayo hayana uhalisia hata kidogo.
Hivi kushindia uji ndio kula ?
 
Wengi wetu wachangiaji humu ndani hatujui mambo ya uchumi wala hatujui uchumi wa nchi unakuwaje. Sasa wenzetu ambao ndio wataalamu ndio wanaoona kuwa nchi hii sasa inaimarika na hata wawekezaji wnakuja kwa sababu mfumo mzima wa uendeshashaji unaeleweka kuliko hapo zamani. Tusidharau tu wakati hatuna ujuzi na maswala technical ya uchumi. Sasa watu wangempigia kura kama wanaona hakuna anachokifanya.
 
Hivi kushindia uji ndio kula ?
ha ha ha.... bado unaendelea kunivunja mbavu ndugu. mnamuombea mabaya kiongozi wetu asifanikiwe, lakin mjue asipofanikiwa mimi na wewe na familia zote kama taifa tunakuwa tumefail pia.
au mnasambaza uzushi kwenye mitandao ili rais wetu aonekane amefail bila kujua mnaharibu reputation ya taifa.

Ukiambiwa hapa uoneshe familia 1000 hapa Tanzania ambazo hazipati milo 2 kwa siku utazionesha????
kwenye wilaya yetu hakuna familia ya aina hiyo hata moja.
 
Kwanini tupoteze muda kuomba MTU ALIYESHINDWA asifanikiwe ? Hajafanikiwa mwenyewe na hatokuja kufanikiwa mpaka miaka yake mitano iishe , 1 term president .
 
Kwa bahati nzuri, sio wewe pekee unayepima kufanikiwa kwake au kushindwa kwake. wote tunaona, na kwa bahati nzuri, hata vyombo vya kimataifa vinatusaidia kutuonehsa ni wapi kashindwa na wapi kafanikiwa. And so far, wamesema kafanikiwa kukuza uchumi.
 
No,wonder this is called black continent.

Pitia hapa ujionee wasemavyo waandaji hawa juu ya Mkuu wa Kaya.

Forbes Africa Person of the Year 2016 nominees: 2 presidents, 2 South Africans, 1 country | Africanews

Sijataka kutaja jina la mtu kutona na utata uliopo kuhusu swala hili kiasi kwamba sasa nashindwa hata kuamini hizi link zinazotelewa kila wakati kama ni za kweli ingawa ukizifungua zinaonekana ni za kweli ila kinachosemwa kumuhusu mh.ndio kinanishangaza na kunifanya nihoji kama watu hawa kweli wamefanya utafiti juu ya wanachokisema.
baada ya juhudi zenu za style ya timu za Wema na Diamond kufeli,mmeona mtoke hadharani kuupinga mtandao huo.si muupuuze tu,ukiutolea hasira wala hawatakusikia,unajiongezea stress tu za bure
 
Back
Top Bottom