For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

Counterpunch inaonekana una inside info za kutosha (relatively) kutetea kwamba hii barua ni ya Salva kweli.

With leading intellectuals like these, no wonder the country is in a ditch. Sasa muandishi wa habari mashuhuri hajui tofauti ya l na r? Na hakuna mtu anayem call out? Hafanyi speech therapy? Hana speech coaches? Au ndiye yeye anayetakiwa kuwa speech coach (after all ni msemaji of sort wa rais!)

Huyu ufisadi anaanza kuifisadi lugha ambayo haihitaji effort kubwa kutoifisadi, sasa huko kwenye fedha na principles sijui kama ana discipline. If this is an actual Salva letter anaweza kuwa na tatizo la ufahamu kubwa kuliko tunavyofikiri.

Na mtu mwenye ufahamu mdogo ni hatari sana, kwa maana hana hata ufahamu wa ku acknowledge some deep principles.
 
Kama hii barua ni kweli ya Rweyemamu na ilimfikia Rostam ina maana Rostam ana uwezo wa kumuunganishia kazi mtu akawe presidential spokesman, nimekoma na Rostam Aziz.

By the way, to be the devil's lawyer for a minute, kama ungekuwa ni wewe Kikwete halafu kina Rostam na kina Rweyemamu ndio hao waliku propell into power kama Salva anavyosema humo, ungefanya nini wakija wanaomba na kuombeana kazi, ungejifanya huwajui? Sijui kama Kikwete atapokea tena favor ya mtu uchaguzi wa 2010. Labda 2011 Rais Kikwete hatakuwa mfukoni mwa kina Rostam na CCM financiers wengine.

Naona pia Salva kamtukana Johnson Mwambo kwamba ni "ki-mbwa cha J.U." akimaanisha Jenerali Ulimwengu, maana Ulimwengu ndie kibosile pale Raia Mwema. Salva Rweyemamu mwana haramu, kama ni barua yake hii.

Dilunga, ukishamtia mtu mfukoni lolote ukimwambia alifanye atalifanya tu maana hana ubavu wa kufurukuta na ndiyo maana Fisadi Rostam hawezi kabisa kuguswa maana Kikwete anajua akimgusa tu basi atakayeumbuka zaidi ni yeye na wala siyo Rostam na ndiyo maana hastahili kuingoza nchi yetu baada ya uchaguzi ujao. Huu ni ushahidi mwingine wa kutosha kwamba Kikwete awamu moja tu inamtosha, kufanya kosa si kosa lakini KURUDIA KOSA NI KOSA KUBWA SANA. Watanzania tusirudie tena kosa la kumpa Kikwete uongozi wa nchi yetu
 
Mutanisamehe ilibidi nisome tena hii barua maana si mnajua imeandikwa kimombo. Ni hivi salva anaonekana kujuuuuuuta kumkabidhi RA hatamu ya uongozi na inavyoonekana kwa maelezo yake ya kumalizia hakuwa na hoja ya kuikoa Habari Corporation ila alitaka kuonyesha maudhi yake kwa Mkoloni wake. Ukisoma kwa makini utagundua anajaribu kumlaumu jamaa kwa tabia yake ya kutotimiza ahadi kwa maswahiba wake (akiwemo yeye). Kwahiyo anataka kumuonyesha kuwa yeye ni professional na anaweza kuishi bila msaada wake (RA).

Jambo muhimu la Kunote hapa: Salva bado anamatarajio makubwa ya kutimiziwa mahitaji yake maana zile kauli za upamoja ("we", honest friendship view na zingenezo) zimetumika sana kuonyesha wako pamoja na ni maoni ya kujenga. Huku mwisho ndo ameonyesha hasa nini lengo la kumwandikia waraka huu wa kinafiki.

"I do not need to remind you of the many promises you have made, especially to me, and
to a certain extent to Shoo and to a certain extent to some of our common friends in
regard to requests we made to you. Very few, indeed the less meaningful ones, have been
realized, and I need to thank you very much for getting those few realized
. Surely, I don't
even have to remind you a list of unfulfilled promise."

It is long, and the way these promises have been handled, and to the extent that they
remain unfulfilled, is clearly and certainly unacceptable. The matter of fact is that every
single proposal made to you which would have made a difference in either my personal
life or in the lives of all our other colleagues, have remained unmet, some of them, years
after they were made. This is sad and utterly distasteful
.

"How, in earth, you can be so totally uncaring? It really baffles and completely confuses
me. For somebody, I so regarded as a close friend to behave this uncaringly is really
unthinkable."


Hofu yangu: NI AHADI GANI AMBAZO SALVA ANATAKA ATIMIZIWA NA RA MAANA KAMA IKULU SI AMESHAPATIWA!!!!
 
Huyu Salva angekuwa viwanja fulani angeshikishwa ukuta watu wampumulie.
 
Nasikia yeye alitaka apewe Ubalozi wa London.

DUUHH!!! yaani ile ya U-MC wa kikwete haitaki? Na kweli maana ile inalawama kila kukicha kula matapishi ya wakubwa mmh...basi jamaa anaakili sana. Ukichukua ubalozi wa kwa mama ni mwendo wa kula bata kama Balozi Mahalu. Sasa kama hilo la kweli anashindwa nini kuchonga na JK mwenye si kila siku yuko nae au anamuogopa?

Hebu mwageni nyeti wadau uhusiano wa salva na Jk ukoje isije ikawa yale yale ya Vodacom na Lowasa kaondoka ndo tunaona makampuni mengine yaja.
 
Atakuaje balozi wetu London hata Kiingereza hajui? Broth inakuwa blot? KUle habari Corporation walianzisha gazeti la Kiingereza la The African ambalo yeye na hilo gazeti vilikuwa kama vilima viwili visivyokutana. Mliwahi hata kuona makala yake moja ya kiingereza mle ndani?

Lakini hayo ni tisa. Uwezo wake wa kuendesha taasisi kwa maganikio uko wapi? Hiyo anayoiongoza hapo Iklulu sijui kama ina hela -- maana siku hizi safari za London za kila mwezi sizioni.
 
Inaonekana Rostam aliogopa vitisho vya salva na akamuweka hapo ili kumnyamazisha. I would love to know kana New HCL imeshasajiliwa
 
Atakuaje balozi wetu London hata Kiingereza hajui? Broth inakuwa blot? KUle habari Corporation walianzisha gazeti la Kiingereza la The African ambalo yeye na hilo gazeti vilikuwa kama vilima viwili visivyokutana. Mliwahi hata kuona makala yake moja ya kiingereza mle ndani?

Lakini hayo ni tisa. Uwezo wake wa kuendesha taasisi kwa maganikio uko wapi? Hiyo anayoiongoza hapo Iklulu sijui kama ina hela -- maana siku hizi safari za London za kila mwezi sizioni.

Sasa kama mtu anajijua hajui Kiingereza kwa nini bado anang'ang'ania kuandika barua kwa kiingereza? Au ndiyo kujitutumua huko ili na yeye ajionyeshe anajua lugha? Mi naona ana ji expose tu hapo kwamba hamnazo!

Mara nyingine tena, lugha inafichua zaidi ya lugha, tunaona mtu ambaye siyo tu ana udhaifu wa lugha ya kiingereza, bali pia ana udhaifu katika maamuzi na inawezekana kabisa uwezo wake wa kupambanua mambo ni mdogo sana kulinganisha na anavyotaka kujionyesha.

Angeandika Kiswahili labda angeweza kuficha utupu wake kwa kulinganisha na maandishi yake katika kiingereza.
 
Jamani muoneeni huruma Mwenzenu, Bado anatafakari Sherehe za Muungano zilivyo fana na Ile Nyama aliokula Botswana Chini ya Ule Mti wa Kutuo maamuzi Muhimu ya Nchi, then Kutolewa kwa Picha za Viongozi kwenye Utamu, sasa hili la Salva si atazimia kabisa.
 
Nasikia yeye alitaka apewe Ubalozi wa London.

kwa hiyo tungekuwa na balozi ambaye mkewe kajilipua kwa kudai kuwa yeyey ni mnyarwanda na siyo mtanzania na anayo well founded fear of persecution kwao Rwanda japo ni mtanzania


makubwa haya!

Lakini it would have been a big change of life toka maisha ya kukaa hostel za asylum seekers in Luton to diplomatic Mansion kule Mill Hill inayolipiwa na walalahoi huku Tanzania


Huyu Salva anayo guts sana huyu eeeh?
 
Ni aibu kubwa sana kwa mtandao.....leo mtandao mzima mmevuliwa nguo.....pamoja na jk wenu...
 
Hapa kinacho takikana kwa sasa ni solution ni mambo gani yafanyike ili nchi iwe na muelekeo mpya,huu ni wakati wa vitendo.
 
kwa hiyo tungekuwa na balozi ambaye mkewe kajilipua kwa kudai kuwa yeyey ni mnyarwanda na siyo mtanzania na anayo well founded fear of persecution kwao Rwanda japo ni mtanzania


makubwa haya!

Lakini it would have been a big change of life toka maisha ya kukaa hostel za asylum seekers in Luton to diplomatic Mansion kule Mill Hill inayolipiwa na walalahoi huku Tanzania


Huyu Salva anayo guts sana huyu eeeh?

Yaleo makubwa haya asie na mwana aweleke jiwe,funika kombe mwana HARASHA apite.Haya !!!teremsha vimbwaga tunavisubiri kwa hamu kubwa.
 
Kumwongezea Kikwete awamu ya pili ni sawa na kubariki ufisadi uendelee kwa miaka mingine mitano. Yeyote atakayempigia kampeni JK 2010, tumwone kama mtu asiyeitakia mema taifa na ambaye anasukumwa na si kingine bali unafiki na ulafi. Yeyote atakayempendekeza JK, iwe chama au mtu binafsi, tumwogope kama ukoma na kumwambia wazi wazi kuwa kama anampenda, akampikie chai. Yawezekana mafisadi walitumia nguvu za ziada kumweka madarakani, lakini bila kura zetu wenyewe, kamwe hangefanikiwa kuiona milango ya ikulu - je, tutarudia kosa kwa kumweka tena "puppet" wa mafisadi madarakani ? Kuna ushahidi gani zaidi ya huu wa from Salva 2 Rostam ?
Kumchagua Kikwete 2010 ni kuubariki Ufisadi​
 
Sawa sawa,

Wewe umeanza kutoa mfano wa vitendo?

Ndio kwa kuwakumbusha wana JF, kwani wengi wetu tumekuwa na utamaduni tunasoma tu nini kinaendelea hapa Tz bila ya kutafuta ufumbuzi wake .Tukimaliza inakuwa ni hadthi ya siku tunasubiri siku inayofuta nini tutakisia na kukisoma tena, tunasahau kuwa kila tatizo lintakiwa kupatiwa ufumbuzi wa vitendo.
 
Ni aibu kubwa sana kwa mtandao.....leo mtandao mzima mmevuliwa nguo.....pamoja na jk wenu...

Ni kweli kabisa. Sasa tuwaone wale waliotoa Kauli ya "Ni Kwete tu 2010 na yeyote atakayempinga atakiona." Akina Chiligati, Malecela, Msekwa na "wazee wa chama" watatokea tundu gani. Mfalme yuko uchi na mwenyewe badi hajagundua! Sijui atazungumza nini katika 'hotuba yake ya mwisho wa mwezi'
 
Ndio kwa kuwakumbusha wana JF, kwani wengi wetu tumekuwa na utamaduni tunasoma tu nini kinaendelea hapa Tz bila ya kutafuta ufumbuzi wake .Tukimaliza inakuwa ni hadthi ya siku tunasubiri siku inayofuta nini tutakisia na kukisoma tena, tunasahau kuwa kila tatizo lintakiwa kupatiwa ufumbuzi wa vitendo.
Sawasawa hata kukumbusha nao ni mchango! endelea hivyo hivyo hata kwa wasio wanaJF ambao ni wengi zaidi!
 
Back
Top Bottom